Thursday, January 21, 2010

BINTIYE AOLEWA NDOA YA KIFAHARI


Ilikuwa mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo ‘sosi’ wa kuaminika alipenyezewa ‘tipu’ ya kuwepo kwa maandalizi ya ndoa hiyo hivyo kutoa ‘chansi’ ya kujipanga kwa ‘kavareji’ ambayo ndiyo iliyozaa habari hii.

Katika kufanya ‘foloapu’ ilibainika kuwa send-off ya harusi hiyo ilichukuwa nafasi siku ya Alhamisi ndani Ukumbi wa Amjenn Exucutive Hotel, Mbezi Beach, kabla ya Jumamosi ndoa hiyo kufungwa katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili (KKKT) Azania Front, jijini Dar.

Katika ishu hiyo, Monalisa ‘inshoti’ Mona, na Hubert Millen Makundi ambao ‘bakigraundi’ zao zinabaki kuwa siri yao hadi atakaporejea mkombozi wa ulimwengu, walifunga ndoa hiyo baada ya programu zote kuwa zimetulia bila uwepo wa baba mzazi wa bibi harusi (Liyumba).

Wakiwa kanisani hapo, ilibidi asimame mtu ‘onbihafu’ ya Liyumba katika kipengele kilichomhitaji baba mzazi, jambo lililoibua masikitiko na tafakari juu ya ‘feeling’ za mdingi huyo kukosa tukio hilo la muhimu katika maisha ya mwanaye.

Pamoja na ‘ku-miss’ kwa Liyumba, ‘timbwili’ la sherehe ya haja lilihamia ndani ya Ukumbi wa Delux Kijiweni Sinza, jijini Dar ambapo waalikwa kutoka sehemu mbalimbali walifurika kushuhudia harusi hiyo huku wakipata nafasi kubwa ya kukandamiza vinywaji na vyakula vya kila aina vilivyoaandaliwa katika hadhi ya nyota tano.

Kwa mujibu wa Shushushu wetu aliyepata nafasi ya kuzama ndani ya ‘mpunga’ huo, kufuru ya sherehe hiyo ilijidhihirisha katika gharama kubwa kwani idara zote zilikuwa zimekamilika kuanzia usafiri hadi mabaki ya vipande vya kuku.

Sherehe hiyo ya kufa mtu ilichukua nafasi mishale saa 12:00 jioni ambapo ratiba kamili ya chereko chereko ilianza saa 1:00 usiku kwa Bwana na Bibi Harusi kutambulisha familia, ndugu, jamaa na marafiki wa pande zote mbili.

Sherehe nzima ilifikia ukingoni majira ya saa 7:00 usiku huku baadhi ya wahudhuriaji wakitambaa kufuatia kuwa ‘tilalila’ kwa mvinyo.

"Habari hii nimeidaka katika moja ya website za kibongo na zilikuwa zimewekwa kwenye gazeti la (RISASI MCHANGANYIKO). Wabongo kweli ni noma kwa kufuatilia mambo ya watu tu basi hawajambo"
Habari hizi nimezipata kwenye hii link hapa chini.
http://www.globalpublisherstz.com/risasimchanganyiko/

Patel aruhusiwa kusafiri kutoka nje ya jiji.


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaruhusu watuhumiwa katika kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje (EPA), Jeetu Patel na wenzake kusafiri na kutoka nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

Uamuzi huo ulitolewa asubuhi na Hakimu Mkazi wa Mahakma hiyo, Ruaichi Meela, baada ya upande wa utetezi kuiomba mahakama iwape ruhusa ya kusafiri nje ya mkoa ili kuweza kuangalia utendaji wa kazi wa wafanyakazi wao katka makampuni yao yaliyo nje ya jiji.

Jeetu na wenzake Amit Nandy na Devendra Patel wanakabiliwa na kesi nne mahakamani hapo ambapo kesi tatu zilihamishiwa mahakama Kuu ambapo washitakiwa hao waliomba kesi hiyo ifutwe kwa madai kuwa vyombo vya habari tayari vimewahukumu.

Wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka ya wizi wa shilingi bilioni 4.9 kutoka Benki Kuu ya Tanzania BOT.

Washitakiwa hao wanadaiwa kughushi nyaraka mbalimbali kupitia Kampuni ya Marubeni Corporation ya Japan na Kampuni ya Maltan Mining Company Ltd ya Tanzania.


KALI YA MWAKA - Mtangazaji wa Italia Amfedhehesha David Beckham.


Mtangazaji mwanamke wa televisheni moja ya nchini Italia alimuacha nyota wa soka wa Uingereza David Beckham akiuma meno kwa hasira na fedheha baada ya mtangazaji huyo kuyakamata makende yake akiwa na nia ya kujua ukubwa wake.

Huku akipiga kelele kwa kitaliano "E piccolo, Beckham" ("Beckham kumbe ni Mdogo") mtangazaji huyo alizolewa msobe msobe na walinzi wa David Beckham baada ya kuyakamata makende yake.

Mtangazaji huyo wa televisheni moja ya nchini Italia aliyejulikana kama Elena Di Cioccio alikuwa na nia ya kujua ukweli kama mali za siri za David Beckham ni kubwa kama zinavyoonekana kwenye tangazo la chupi za Armani ambalo David Beckham alishiriki.

"Nilitaka kujua ukubwa wa makende yake", alisema Elena.

Beckham alikuwa akiongea na waandishi wa habari nje ya hoteli moja mjini Milan wakati tukio hilo lilipotokea na kumwacha Beckham akiwa hajui la kufanya akibaki anamwangalia mtangazaji huyo kabla ya walinzi wake kumuondosha.

Mtangazaji huyo alipanga tukio hilo mapema na kuongozana na timu yake ya wapiga picha hadi kwenye eneo ambalo David Beckham alikuwa akiongea na waandishi wa habari.

Huku akiwa amevaa gloves za njano, mtangazaji huyo alijipenyeza na kumsogelea kwa karibu Beckham kabla ya kuzikamata nyeti zake na kuanza kupiga kelele za "Beckham kumbe mdogo".

Beckham alishiriki kwenye matangazo ya nguo za ndani za mwanamitindo maarufu duniani Giorgio Armani. Katika picha za tangazo hilo Beckham anaonekana akiwa ameshehena mzigo kwenye sehemu zake nyeti ambao mkewe Victoria Beckham aliubatiza jina la "Golden Balls".

Hivi karibuni Cristiano Ronaldo alichukua nafasi ya Beckham katika matangazo hayo ya viwalo vya ndani vya Armani.

Mmmh hii kweli ni baridi sasa...

Bro??? Umepauka....sasa sijui ni hali ya hewa, mambo ya maji au lotion. Kwa kweli hapo siwezi kusema sana nadhani itanibidi nikutafute ili tuweze kupeana majibu. I'm sure hata wewe unayesoma you'd like me to post an answer for that next time. Angalia mikono ya mdau huyu... Daaamn... you need to do some...au unalala chini? May be!

Wachagga bwana!

Tapeli la Kichagga limekaa mkao wa leo halali mtu hapa. Na ni kweli kwani mechi ilikuwa ngumu mpaka watu wakaenda overtime... Mimi niliwahi kuondoka kwani nilikuwa na curfew sasa sijui matokeo yalikuwaje kwani mpaka tunakwenda mitamboni, wadau walikuwa wanasema kuwa Pierre alikuwa anaongoza 1-0 ila mpinzani wake alikuwa analichachama sana lango la Pierre... Keep on login for more details.

Wana wa Ngwasuma...

Wadau hawa wawili mwanzoni, week hii walifumaniwa wakiwa wanazichapa bia za bei rahisi sehemu nyeti hapa Kansas. Kilichonishtua mimi ni kwamba...wadau hawa kamwe huwaga hawagusi chupa za rangi ya mende, kwani wao ni wana wa "Heineken tikisa kama imekwisa....waaaiter?" Sasa sijui ni mambo ya recession au ni hali halisi ya maisha. Bado hatujapata jibu kamili but still is under investigation.

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...