Monday, March 29, 2010

“Self-confidence is the memory of success”

Kuna maneno nimesikia kwamba kuna mdau anasema kuwa nimefungiwa blog yangu sasa nataka a"prove" maneno yake...Niliamua kufunga blog yangu kwasababu zangu mwenyewe na siyo kwamba nilifungiwa... Sijui atasema nini sasa hivi kwani nimerudi tena na ninaendelea kuwachekesha wanaopenda kucheka...

You don't need to log on my blog kwani kuna blog nyingi tu za kucheki...I don't need you if you think I'm wrong plus I won't put anyone's photo if you don't want me TO. Blog yangu inakupa warning... Why do you ignore and log on it? So I guess I don't have to listen to y'all.

I'm having fun and always WILL do... "“They can't hurt you unless you let them.

D Wade...

D wade alivyokuwa mdogo miaka ya nyuma...Hapa anaonekana akiwa tayari kwa "menudo"... Kweli tumetoka mbali huwezi kuamini mdau huyu anafanana sana na King Kupaz lakini siyo King Kupaz! Kama unabisha basi wewe ni"BUZZ" for more details...$ 2.99 for every Buzz...Yes I he ain't who you think he is.

Man U " HAKUNA KITU"

Wadau wa Manchester United a.k.a "UWT" hapa ukipita na Jersey ya team dume dunia kwa jina "LIVERPOOL FC" Wanaweza kukumeza hawa watu. Ila nimefurahishwa nao sana kwani juzi kati walionekana wakiwa wamevaa jersey la Liverpool kwa madai kwamba zimewapendeza...tehe tehe! Hongera sana vijana wangu lazima mje kuwa ma"model" nyie!

Mishale ya saa kumi za Usiku...

Hapa sijui kilikuwa kinaongelewa nini...but all I can say ni kwamba vijana walikuwa wanakula "BATA". Mmmh! Na huu mkono nyuma ya mshkaji hapa sijui ulikuwa wa nini...anyway wacha nisidende huko bwana kwani wanachonga sana sasa hivi!

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...