Thursday, January 21, 2010

Patel aruhusiwa kusafiri kutoka nje ya jiji.


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaruhusu watuhumiwa katika kesi ya wizi wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya madeni ya nje (EPA), Jeetu Patel na wenzake kusafiri na kutoka nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

Uamuzi huo ulitolewa asubuhi na Hakimu Mkazi wa Mahakma hiyo, Ruaichi Meela, baada ya upande wa utetezi kuiomba mahakama iwape ruhusa ya kusafiri nje ya mkoa ili kuweza kuangalia utendaji wa kazi wa wafanyakazi wao katka makampuni yao yaliyo nje ya jiji.

Jeetu na wenzake Amit Nandy na Devendra Patel wanakabiliwa na kesi nne mahakamani hapo ambapo kesi tatu zilihamishiwa mahakama Kuu ambapo washitakiwa hao waliomba kesi hiyo ifutwe kwa madai kuwa vyombo vya habari tayari vimewahukumu.

Wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka ya wizi wa shilingi bilioni 4.9 kutoka Benki Kuu ya Tanzania BOT.

Washitakiwa hao wanadaiwa kughushi nyaraka mbalimbali kupitia Kampuni ya Marubeni Corporation ya Japan na Kampuni ya Maltan Mining Company Ltd ya Tanzania.


No comments:

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...