Tuesday, February 23, 2010

Wabongo so...


Huyu ni mwalimu wa Chuo kikubwa tu hapa Kansas na amebahatika kuolewa na Mdau mmoja kutoka pale mkoani Kisumu, nchini Kenya barani Asia. Wabogo waliimba hapa na baada ya masaa manne tu basi mdada huyu alionekana akijivinjari katika mojawapo ya kibanda cha tapeli mmoja wa Kibongo na ndipo hapo picha zetu zinakutana naye uso kwa ana... Kilichoendelea hapo tulikifutua kwa kideo kabisaaa... ila hatuwezi kuirusha hapa kwenye hii blog kwani kuna watu nyeti sana ndani yake na ningependa iwe PPV "pay per view" Kama ungependa kuiona basi wewe wasiliana nasi kwa simu yetu ya zamani...Namba ni 911 ext. 326 na muulize Sunga Masauta Ibeniki anayekaa kwa mama Matemba kule karibia na mtaa wa Swai mwenye nyumba yenye bati la pink na mtoto wake wa mwisho "Mashoo" anayevaa ndala za kijani na anapendelea sana kutembelea maeneo ya Sengerema kule wilayani Mafinga katika mkoa wa Lindi. Thanks and may Shetani bless you!

Yes that's ME!

CEO na Creator wa blog hii a.k.a 'Msela wa kudumu' nikiwa na wadau wangu pembeni...Hapa nilikuwa napewa one of the million compliments nazopata per hour kutoka kwa baadhi ya washabiki wa blog yangu. I'm trying very hard to make you my people to forget about the hard times and enjoy this life to the fullest. Kweli nimeiva kwani kama ningekuwa nchi basi ni US na hawa masela wangu ni Bongo na kama ningewa Jimbo basi mimi ni New York na hawa wadau kama wangejitahidi sana wangekuwa mkoa wa Kagera last but not least kama ningekuwa Celebrity basi ningekuwa a little bit over P Diddy na wadau wangu may be narudia tena "MAY BE" Salehe Kaumbwa...tehe tehe tehe! Lekashingo??? Where are you at my bro?

Sinema ya Ngono za Mashoga Yaonyeshwa Kanisani.

Waumini zaidi ya 300 waliojazana kwenye kanisa la mchungaji Martin Ssempa la mjini Kampala nchini Uganda, walishuhudia sinema ya ngono kanisani wanaume wakiwainamisha na kuwaingilia kinyume cha maumbile wanaume wenzao. "Angalia mwanaume huyu anakula uume wa mwanaume mwenzake", alisema mchungaji Ssempa akitoa maelezo juu ya kipengele kimoja cha video hiyo.

"Je ni haya kweli Obama anataka kutuletea barani Afrika?", alisema mchungaji huyo kufuatia kauli ya Obama kupinga sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda na kutaka mashoga nao wapewe haki zao. Mchungaji huyo aliamua kuionyesha sinema hiyo kanisani katika kutafuta kuungwa mkono juhudi zake za kutaka sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda.

Sinema hiyo ilionyeshwa siku ya jumatano na kuangaliwa na waumini wengi baada ya polisi nchini Uganda kuyafuta maandamano ya watu milioni moja yaliyokuwa yafanyike kuuunga mkono muswada wa kuwahukumu kifungo cha maisha mashoga.
"Tulikuwa tumepanga wanaume na wanawake milioni moja tuandamane kwenye jiji la Kampala lakini tuliambiwa kuwa hatuwezi kuandamana kutokana na sababu za kiusalama", mchungaji Ssempa aliwaambia waumini wake.

"Hivi mnajua ni vitu gani wanavyofanya mashoga wanapokuwa kwenye vyumba vyao?", alisema mchungaji huyo na kuanza kuwaonyesha waumini wake picha za ngono za mashoga. Mchungaji huyo aliweka video ya picha zinazoonyesha wazi wazi jinsi wanaume wanavyowaingilia wanaume wenzao.

Serikali ya Uganda imekuwa ikipata upinzani mkubwa toka nchi wafadhili ambazo baadhi zimetishia kusitisha misaada yake iwapo Uganda itapitisha muswada wake wa kuwabana mashoga na wasagaji. Katika mojawapo ya vipengele vya muswada huo, watu wanaowakodisha nyumba mashoga na wasagaji nao pia watakumbana na sheria na watafikishwa mahakamani.

Baadhi ya mashoga watahukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha cha maisha na wengine adhabu ya kifo kama muswada huo utapitishwa.



Mume Akutana na Mkewe Kwenye Taarabu, Amshushia Kipigo.

Sakata hilo lilitokea mwishoni mwa wiki, majira ya usiku, katika ukumbi wa Travetine Magomeni wakati Jahazi Taarabu ilipokuwa ikifanya onyesho ukumbini hapo. Mwanaume huyo alifika ukumbini hapo huku akijua kwamba mke wake hatakuwa mahali hapo kwa kuwa alidai alimuaga anakwenda kwenye harusi ya ndugu yake na wakati akipapasa macho huku na huko alimuona mke wake akicheza ukumbini humo.

Hivyo alimuacha aendelee na kucheza na mziki ulipoisha mke wake huyo alirudi kukaa kwenye kiti na mume huyo ndipo alipomfuata alipokaa na kumtaka atoke nje ya ukumbi waondoke nyumbani. Mwanamke huyo kwa vile alipania kuhudhuria shoo hiyo alimjibu mume wake huyo hatoki ukumbini na amuache hadi atakaporidhika na kuamua kuondoka yeye mwenyewe.

Kutokana na majibu hayo ya mkewe, mume huyo alichukua uamuzi wa kuanza kumshambulia kwa kumkata vibao vya nguvu mkewe hali iliyofanya kuzuke zogo kubwa mahali hapo na mwanamke huyo kuendelea kung’ang’ania kwenye kiti akiashiria haondoki mahali hapo. Hali hiyo ilizua mtafaruku mkubwa hali iliyofanya mabaunsa kuingilia kati sakata hilo.

Mwanamke huyo alizidi kuonyesha msimamo wake na kuwaambia mabaunsa kuwa haondoki kwa kuwa alilipia na mabaunsa kumtaka atoke nje ya ukumbi kwa kuwa mumewe alikuwa anafanya fujo ukumbini hapo. Mwanamke huyo alipoonekana ni king’ang’anizi ilibidi mabaunsa wamnyanyue na kiti alichokalia ili amani irudi mahali hapo kwa wengine waliokaa mahali hapo.

“fmakubi.blogspot.com” ilishuhudia sakata hilo hadi mwanamke huyo alivyopakizwa kwenye gari ndogo na kuondoka huku wakirushiana maneno ya hapa na pale na mumewe huyo.



Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...