Friday, July 23, 2010

Ni kweli kabisa hii...

Kwa habari ambazo nimezipata kutoka kwa mpiga 'KAMBA' maarufu hapa nchini Mhe. Mdakuzi Andrew Mki%$#@#a ni kwamba yule Pweza aliyekuwa maarufu sana kwenye utabiri wa kombe la Kikapu kule South Africa, ameweza kutabiri tena kuwa Chama cha Republican kitachukua ushindi kwa mara ya kwanza mfululizo... Kwa habari kamili basi wewe fuatilia habari zetu saa saba usiku kwenye Channel ya Al-Jazeerah! Thanks.

Computer Engineer Huyu!


Kijana huyu jina tunalo kapuni ni graduate student wa pale WS" you" aliamua kuchukua karatasi lake baada ya kuona kuwa anakosa kazi kwa kisingio cha kuwa haruhusiwi kunanii hapa US! Jamani basi tuwe tunaangalia tunaangukia wapi kwani hapa hii ni braaa...Just in case kuna kajiugomvi hapo home...Hivi huyu mdau atatoka kaoza au kafariki? Ananikumbusha sana na mwala wa pale 21st na Woodlawn!

Mambo ya South Seneca haya mwanangu!

Yaani hapa ng'ombe anachemsha hata akiwa na njaa ya namna gani kwani mdada anaonekana ameshiba kwa kwenda mbele. Ananikumbusha sana demu mmoja wa Ki"keroro" ambaye anaishi hapa Wichita, kwa habari kamili basi wewe ni buzz tu na nitakutupia nyeti zote.

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...