Friday, January 29, 2010

JUST HAPPENING NOW... PLEASE RESPOND!

Kwa wale wabongo ambao wangependa au walikuwa na vitu vya kusafirisha kwenda bongo basi ningependa kuwapa habari njema.

Kijana Edwin ana mpango wa kuchukua container kutoka hapa united “majimbo” na kulisafirisha mpaka bongo,

Kijana eddie alikuwa anataka kuwataarifu wadau wengine ambao wana vitu vya kupeleka bongo, wawasiliane naye ili aweze kuwapa details zaidi kuhusiana na deal hilo ambalo ni la nafuu sana ukilinganisha na gharama ambazo mwanawane ungezitumia kusafirisha mizigo yako kwa njia nyingine.

Namba ya mdau huyu eddie ni:

316 516 2728.

Kiwanja hakidanganyi bwana....

Mdau Ngassa D akiwa na mtoto wake wa kike kushoto na mdau mmoja hapa kulia na yeye akiwa ametoa meno yote nje baada ya mtafuno wa maana kutoka kwenye andazi. Kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka lazima uwe karibu sana na watoto wako maana matapeli wanaweza kuwa"file" kwenye tax return zao... Deo eeh! Si unajua nina mtoto wa kiume sasa basi fanya fanya huyu mdau wa hapa mbele akae mbali kabisa na mkwe wangu...I mean that. Thanks!

Rais Adai Nyama ya Nguruwe Ina Nguvu Kuliko Viagra.

Rais wa Argentina, Bi. Cristina Fernandez amedai kuwa kula ya nyama ya nguruwe kunaongeza nguvu za kimapenzi kuliko viagra.

"Niliambiwa kitu ambacho nilikuwa sikijui, kula nyama ya nguruwe kunaongeza nguvu za mapenzi", alisema bi Cristina akiwaambia viongozi wa viwanda vya nyama ya nguruwe.

"Naweza kuwaambia kuwa ni bora kula nyama ya nguruwe kuliko kutumia viagra".

Bi Cristina aliongeza kuwa mwishoni mwa wiki yeye na mumewe ambaye alikuwa rais wa Argentina kabla ya kumaliza muda wake, walikula nyama ya nguruwe na baada ya hapo mambo ya malavi davi yalienda vizuri sana kuliko kawaida mwanawane.

"Inaweza kuwa kweli, jaribu ujionee mwenyewe", aliongeza rais huyo wa Argentina katika hotuba yake ambayo ilirushwa live kwenye luninga na kudakwa na mdau wangu Poborsky a.k.a Baba Chuki.

Argentina ndio nchi inayoongoza duniani kwa kula nyama ya ng'ombe lakini kutokana na kuongezeka kwa bei ya nyama ya ng'ombe, serikali ya Argentina imekuwa ikipiga kampeni watu waanze kula nyama za nguruwe.

Naye mkuu wa umoja wa wazalishaji wa nyama ya nguruwe nchini humo, Juan Uccelli, alimuunga mkono rais Fernandez kuhusiana na matumizi ya nyama ya nguruwe kwaajili ya nguvu za kimapenzi.

Juan alisema kuwa watu katika nchi za Denmark,Tanzania na Japan ambazo zinaongoza duniani kwa ulaji wa nyama ya nguruwe, wana maisha mazuri ya kimapenzi kuliko watu wa Argentina

THE OLD TOP 10 WESTERN SONGS FOR 2009.

10. I Hate Every Bone In Her Body But Mine

9. I Ain't Never Gone To Bed With an Ugly Woman But I Woke Up With A
Few
8. If The Phone Don't Ring, You'll Know It's Me

7. I've Missed You, But My Aim's Improvin'

6. Wouldn't Take Her To A Dogfight 'Cause I'm Scared She'd Win

5. I'm So Miserable Without You It's Like You're Still Here

4. My Wife Ran Off With My Best Friend And I Miss Him

3. She Took My Ring and Gave Me the Finger

2. She's Lookin' Better with Every Beer

And the Number One Country & Western song is...

1. It's Hard To Kiss The Lips At Night That Chewed My Ass All Day

What is True Love!?My dear Friend:

Love is everything.. .... love is within a person's heart.. many of us, care more about looks alone and not the heart...dont be deceived by looks alone,follow the heart... Love someone who cares,who will look after the family,who appreciates you.... just wanted to share these photoes below with you this.













Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...