Tuesday, February 23, 2010

Sinema ya Ngono za Mashoga Yaonyeshwa Kanisani.

Waumini zaidi ya 300 waliojazana kwenye kanisa la mchungaji Martin Ssempa la mjini Kampala nchini Uganda, walishuhudia sinema ya ngono kanisani wanaume wakiwainamisha na kuwaingilia kinyume cha maumbile wanaume wenzao. "Angalia mwanaume huyu anakula uume wa mwanaume mwenzake", alisema mchungaji Ssempa akitoa maelezo juu ya kipengele kimoja cha video hiyo.

"Je ni haya kweli Obama anataka kutuletea barani Afrika?", alisema mchungaji huyo kufuatia kauli ya Obama kupinga sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda na kutaka mashoga nao wapewe haki zao. Mchungaji huyo aliamua kuionyesha sinema hiyo kanisani katika kutafuta kuungwa mkono juhudi zake za kutaka sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda.

Sinema hiyo ilionyeshwa siku ya jumatano na kuangaliwa na waumini wengi baada ya polisi nchini Uganda kuyafuta maandamano ya watu milioni moja yaliyokuwa yafanyike kuuunga mkono muswada wa kuwahukumu kifungo cha maisha mashoga.
"Tulikuwa tumepanga wanaume na wanawake milioni moja tuandamane kwenye jiji la Kampala lakini tuliambiwa kuwa hatuwezi kuandamana kutokana na sababu za kiusalama", mchungaji Ssempa aliwaambia waumini wake.

"Hivi mnajua ni vitu gani wanavyofanya mashoga wanapokuwa kwenye vyumba vyao?", alisema mchungaji huyo na kuanza kuwaonyesha waumini wake picha za ngono za mashoga. Mchungaji huyo aliweka video ya picha zinazoonyesha wazi wazi jinsi wanaume wanavyowaingilia wanaume wenzao.

Serikali ya Uganda imekuwa ikipata upinzani mkubwa toka nchi wafadhili ambazo baadhi zimetishia kusitisha misaada yake iwapo Uganda itapitisha muswada wake wa kuwabana mashoga na wasagaji. Katika mojawapo ya vipengele vya muswada huo, watu wanaowakodisha nyumba mashoga na wasagaji nao pia watakumbana na sheria na watafikishwa mahakamani.

Baadhi ya mashoga watahukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha cha maisha na wengine adhabu ya kifo kama muswada huo utapitishwa.



No comments:

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...