Tuesday, January 26, 2010

Haiti Yakabiliwa na Ukata wa Makaburi.


Tetemeko kubwa la ardhi la ukubwa wa 7.0 lililoikumba Haiti wiki mbili zilizopita, limesababisha uhaba wa makaburi ya kuwazika maelfu ya watu waliofariki kutokana na tetemeko hilo.Watu zaidi ya 150,000 wanahofiwa kufariki kwenye tetemeko hilo la ardhi.


Mamia ya watu wamezikwa kwenye makaburi ya pamoja lakini bado idadi kubwa ya maiti zimezagaa kwenye mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo Port au Prince.

Maafisa wa shughuli za mazishi wamesema kuwa wamekuwa wakiwazika watu watatu watatu katika kila kaburi moja.
Mamia ya maiti zingine ambazo zimezagaa mitaani inasemaka zimekuwa zikichomwa moto.

Idadi kamili ya watu waliofariki kutokana na tetemeko hilo la ardhi imekuwa ni vigumu kupatikana kutokana na ugumu uliopo katika zoezi la kuhesabu miili ya watu waliofariki.
Mamia ya watu waliofariki kutokana na tetemeko hilo, miili yao bado imefunikwa kwenye vifusi vya majengo yao huku zoezi la kuokoa watu waliofunikwa na vifusi likiwa limeishasitishwa.

No comments:

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...