Thursday, May 29, 2008

Upendo na Uvumilivu

Looo!!!! unaona mambo haya?..................Mfungwa mmoja alitoroka jela baada ya kukaa miaka 15,katika kukimbiakimbia akajikuta anaingia nyumba mojana kuwakuta mtu na demu wake wamelala kitandani wakiwauchi. Akamtoa bwana kitandani na kumfunga kamba kwenyekiti,akaenda kumbusu mwanamke kwenye shingo kishaakaingia bafuni.
Wakati yuko bafuni jamaa akamwambia mkewe,"Sikilizahuyu bwana ni mfungwa angalia magwanda yake!!Inaonekana amekaa sana jela na hajalala na mwanamkesiku nyingi sana, hivyo umpe chochote atakacho nausibishe hata akitaka penzi mpe vinginevyo atatuuwawote wawili, fanya ufanyavyo ili umridhishe huyu bwanaaende zake,uvumilie mpenzi,nakupenda sana nantaendelea kukupenda zaidi". Mwanamke akajibu"ni kweliusemayo mpenzi huyu bwana hajalala na mwanamke sikunyingi, ila aliponibusu shingoni alininong'onezakwamba MUME WAKO NI MZURI NA AMENIVUTIA ZAIDI, KUNAVASELINE AU MAFUTA YOYOTE? Nikamwambia iko bafuni nandio kaifuata!! "vumillia mume wangu nakupenda sana nantaendelea kukupenda zaidi."
There are two choices in life - Take it or leave it !Love, Cherish and be kind to all regardless how they are!!!.

No comments:

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...