Tuesday, February 23, 2010

Baba Seya!

Santonio Holmes akiwa na Mario Chalmers mara baada ya All-Star games last week pale kwenye kiwanja cha Harry 'n' Ollies...hapa wanaonekana wakijiburudisha kwa kuimba kibao cha Asu kilichoimbwa na Abdul Misambano. Huyu mdau wa kushoto kwa vitambaa tu!, sijui huwaga anauza au vipi? Kwani anafanana na dirisha kweli! Tapeli wa kulia kapendeza kweli na Jersey yake ya "TOP AND BOTTOM".

Enzi hizo...

Duniani kuna mengi...huwezi kuamini kuwa wengi wetu siku za nyuma hapo maisha yalikuwa kama haya ila kwa sasa tangu umetua ughaibuni basi umesahau kabisa mambo ya kulia kwenye coffee table. Hujafa hujaumbika kwa kweli! Unaliona "DUMU" la maji? Na lazima hayo maji yawe yaliyochemshwa...Kipindupindu...tehe tehe tehe!



Thursday, February 18, 2010

BREAKING NEWS YOOO!

The boy is Hot jamani...you've got to see him to believe. Twendeni tukampe kijana wetu mkono kwani wanaanza hivi hivi hawa then tomorrow wanakuja kuwa kwenye map! We need to support our little bro all the way from East Africa to Wichita, Kansas. He's the best R&B singer from East and Central Africa so far na kama unabisha basi wewe google hii statement kwani kuna wadau kibao wanaoujua mziki wamempa hiyo rank. Kwa sasa mdau huyu yupo kwenye mazoezi makubwa sana kwaajili ya Tour hii...na kuna tetesi ambazo nimezipata ni kwamba kijana huyu anakuja na single kwenye Video ambayo itakuwa "FILMED" by MTV wenyewe yes I said MTV. Stanboi...boy you've got what it takes to be the best R&B you already know that so be humble and lets do this for the fans!

Amuua Mpenzi Wake Baada ya Kuambiwa Hayawezi Majambozi!

Peter Ling, 50, aliiambia mahakama kuwa alishindwa kuzitawala hasira zake baada ya kipenzi chake Linda Casey kumwambia kuwa hana kiungo cha siri kikubwa cha kuweza kumtosheleza hamu zake za kimapenzi, limeripoti gazeti la Daily Mail la Uingereza. Ling, aliandaa sehemu ya starehe jijini London kwaajili ya kukutana na Linda akiwa na nia ya kumuuliza kama Linda ana mwanaume mwingine pembeni.

Baada ya kukutana na baadae kufanya naye mapenzi, Ling alimgeukia Linda na kuanza kumhoji kuhusiana na emails alizozituma zinazohusiana na tovuti za kutafuta wachumba na pia kama ana mwanaume mwingine pembeni.
Wakati wa mabishano yaliyozuka wakati huo, Linda aliongelea masuala ya viungo vya siri vya Ling akimuambia kuwa uume wake ni mdogo sana kuweza kumtosheleza kimapenzi mwanawane.

"Nilikuwa ni kama bomu lililokuwa likisubiria kulipuka wakati wowote, alipotoa maoni hayo moja kwa moja yalizama kwenye akili zangu", Ling aliiambia mahakama."Siku zote nimekuwa nikiushuku ukubwa wa uume wangu", aliongeza Ling. Baada ya Linda kutoa maoni hayo, Ling alianza kumshushia kipigo Linda mpaka alipofariki.

Ling anaitaka mahakama iamue kesi hiyo kama mauaji bila kukusudia badala ya kesi ya mauaji ya kukusudia aliyofunguliwa.

Kesi hiyo inaendelea.

IMEKAAAJE HII!

Sasa kweli kabisa unataka kusema hapa tuna askari? Huyu mdau wa kushoto ameliweka rungu katika center bolt kabisa na wala hasikii mchafuko? Kuna mambo mengine bwana huwezi hata ku"comment" kwani ni aibu tupu. Wacha nijiangalizie hii photo tu na kumalizia majibu mwenyewe moyoni...Au mwanangwasuma wewe una la kuongezea hapa?

A reminder to those who are on facebook not to give too much of your personal details..!!




The girl in the picture posted the nice looking pictures on Facebook and of course she got like a million friends requests & she accepted of all of them. One of the guys started asking her to meet up and I guess to have sex, she refused his offers, but since it was Facebook she had put all her details there too so he had her address phone number etc, the next thing he showed up at her place and then the last 2 picture tell the story of what happened..... ..!!!!

Mdau unatisha mwanawane...

Bwana weee...hapa kwa kweli ni kama ahera kwani mdau amebanwa hivi na walimbwende. Mmh nafasi kama hizi wanazipata vipofu kwani hawawezi kuona goli. Ona huyu mdada mwenye jeans la blue..ni nini tena hiki? Naona ametoa zile style za "KIBATABATA" Mtumeee mtoto unaumiza watu huku! Mrembo wa kulia pale mwenye tight nyeusi kama ana kijitumbo cha lager ila hiyo wabantu hatujali kwani kama ni muda wa kura raha basi kila kitu ni RUKSA malalamiko morning. Ila tapeli wangu kweli nimekukubali...ila sasa shule umemaliza lakini? Mikasi itakumaliza hii!

Hapo Vipi?

Haya ndiyo baadhi ya mambo yanayotufanya turudi Bongo for vacation...Sasa kitu kama hichi ukiingize kinywani halafu umalizie na Kili baridi! Damn nakwambia macaroni and cheese aint got none on this. Embu cheki chachandu lile...bwana weeeh Bongo kuna menu za maana!

Monday, February 15, 2010

Muafrika Kusini Atwaa Taji la Urembo wa Mashoga wa Dunia.

Charl Van den Berg, 28, shoga toka Afrika Kusini aliwafunika mashoga wenzake toka Australia, Hong Kong, China, Tanzania na Hispania na kutwaa taji la dunia la kumtafuta mwanaume shoga mrembo kuliko wote duniani kwa mwaka 2010. Charl ambaye anaendesha mgahawa wa chakula mjini Cape Town nchini Afrika Kusini alitwaa taji hilo baada ya mashindano ya siku nne ya kuvaa mavazi mbalimbali yakiwemo mavazi ya kuogelea.

Taarifa ya waandaaji wa mashindano hayo ilisema kuwa dhumuni kubwa la mashindano haya ni kumtafuta mtu atakayekuwa kiongozi wao katika kutetea haki za mashoga duniani. Xiaodai Muyi, 26, shoga toka China alishiriki na kushika nafasi ya nne katika mashindano hayo pamoja na hatua za China kumzuia asishiriki mashindano hayo.

Mamlaka za China ziliyapiga marufuku mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa China katika mashindano hayo. Xiaodai aliingizwa kisiri kwenye mashindano hayo ambayo wanaume 20 toka nchi mbali mbali duniani walishiriki kumtafuta mrembo baina yao. Ushoga ulikuwa ni kosa la jinai nchini China hadi mwaka 1997 wakati sheria zilipobadilishwa na kuwahesabu mashoga ni watu wenye matatizo ya akili.

Raia wa Australia Byron Adu, 25, alishika nafasi ya pili akifuatiwa na Rick Dean Twombley, 33, mcheza dansi toka Hong Kong aliyeshika nafasi ya tatu huku Mhispania Sergio Lara, 26, akishika nafasi ya tano na Mulokozi Rugaimkamu Ngaiza “Mhaya” kutoka Bongo kuchukua nafasi ya Sita. Mashindano ya kwanza ya kumtafuta mrembo wa dunia wa mashoga yalifanyika mwaka jana nchini Canada ambapo mwanaume toka Kagera “TZ” alitwaa taji hilo.

Wazee wa FULL DOSE!

Hapa ukikaa vibaya utalalamika kesho...tapeli wa DC kulia akiwa na Mangi Meli na Mangi sina wote kutoka wilaya ya Tukuyu, Mkoani Iringa. Mdau wa kulia hapo juu yupo faster acha kabisa kwani anashikiria record ya ku"holla" kwa warembo 267 kwa usiku mmoja katika Club fulani hapa jijini kwetu Nairobi nchini Malawi..."DC where are you at" Pamoja na kuimba kwa warembo wote hao kijana huyu hata tarakimu ya uongo hakuweza kupata...sasa sijui ni lugha yake ni kikwazo na ndiyo maana hawakuweza kumuelewa na ni kwa vile hana point! Nitawauliza hawa Mangi pichani!

Tema mate chini weee!

Mmmh kuna magari makubwa na kuna makubwa magari ila sasa hiki sijui ni nini Mungu wangu miee! Na kwanini alikuwa anavuta tambala lake juu huyu? Baba Naima mbona unaonekana kusikitika? Kunani pale? Nakionea huruma sana kiti kile kwani shuruba kiliipata sawasawa! Mdada mkubwa huyu kawa Uwanja wa Dallas Cowboy...kudadadeki!

Ngwasuma ngwasuma ngwasuma...

Mambo gani ya kuweka mikoni kwenye kiuno wewe? Unafikiria hii ni Bongo eeh? Kaa chonjo hiyo miondoko yako inaweza kuleta braah kwa watu wengine. Mdau anafurahia starehe ya bure huyu. Hapa akiamka ndiyo atajikuta anajuta kwani "MAKARATASI" yalipiga simu kwa sana na kuamua kurusha vijishati vyake nje ya mlango...Akirudi nyumbani ataelewa nini maana ya CURFEW huyu!

Hii inatia uzuni kwa kweli!

Sasa unataka kuniambia kwamba kweli hapa kuna umoja jamani? Wewe kama unaweza kula bata Monday hadi Sunday na unajua kuna watoto kama hawa wanahitaji msaada basi lazima uje kuwa "KUNI" motoni nakwambia. Mimi siwezi kuamini kwamba mtoto mdogo kama huyu ataweza kufika mbali kiuchumi kwani mgogo wake hadi hapo tu utakuwa umechoka mbaya na unaniambia aende shule ana afaulu shule ya msingi. Serikali yetu inabidi kuweka mitihani tofauti kidogo kwani kwa wale wanaotaabika kwenda shule basi wapewe kiji"favor" bwana!

Friday, February 12, 2010

Kibao kipya kinachovuma pale nchini Ethiopia!

Asikwambie mtu kibao hichi ni balaa kwa sasa na kinatamba sana kila kona ya nchi hiyo. Mwimbaji wake alikuwa ni Engineer wa Cornejo & Sons anakwenda kwa jina la Msukuma a.k.a Buluba. Unaweza ukakipata kibao hivi kama uki"log in" kwenye youtube.com. Title ya song hili ni "FUMBA MACHO" na ndiyo maana kila mdau hapa amefumba macho yake. Big ups kwa producer na writer wa song hilo ambaye anakwenda kwa jina la DJ Dula...Thanks a lot pal!

USIKU UNA MENGI MWANAWANE!

Mkali wa miondoko ya Rap nchini Marekani pichani kulia akiwa anaweka mambo ya after party safi. Mdau huyu bwana ana mke lakini naona kama pete ya ndoa ipo kwenye kidole tofauti vile au ni macho yangu tu? Halafu mbona shati limechomoka kwa mbele peke yake? Kunani pale mtu wangu?

Hii ilikuwa ni shughuli kwa kweli sasa wacha nijikalie kimya mtu wa watu mie nisije kajasutwa bure! Tehe tehe!

Hii kiwanja ni Child Abuse kabisa!

Hakuna kosa ambalo mwanafunzi wa shule ya msingi anatakiwa kuadhibiwa kama hivi bwana. Hapa unaweza kusema kuwa mwanafunzi atajifunza kweli kutokana adhabu kama hizi? Mwangalie huyu wa nyuma kwani hata shoes hana amejitahidi kweli kuja kufuta ujinga but mwalimu bado haoni hilo na kuendelea kumhadhibu...Mimi roho inaniuma kweli nikiona mambo kama haya hasa hasa yanatokea kwenye nchi za joto kama zetu kwani hapa hakanyanyuka huyu mtoto jasho mwili mzima na hewa nzito ya kumfanya mtu awe bubu for a while!

BONGO NGOMA HAITAISHA...

Sasa picha kama hii jamani inamaanisha nini? Hizi picha huwaga naziona kwenye website za watu wazima tu na sasa naona zimeanza kuingia bongo.(BONGO KUNANI) Dada umependeza mwayego kwani huo ni mkanda sijui au ni chachandu za kisasa.... yenye rangi nyekundu, imepita mahala pazuri kweli...muwashowasho huo...Umeona hiyo wewe Pierre "Kabumbu"?

WAPO WAPI HAWA?

Bongo kuendeleza fani ni kazi kwani matapeli wengi sana. Vijana walikuwa on fire kipindi kile cha kale ila baada ya kuwika bila mafanikio sasa sijui wamejichimbia wapi. Baadhi yao sasa hivi wapo hapa kwa baba Obama wanakula BATA as always. Mdau wa nyuma amekamata weusi kwa kwenda mbele, jua la bongo noma ila kwa sasa msela huyu yupo USa upande wa Mashariki kule karibia na Madson Square kaiva hivi....anaonekana kama " POINT FIVE"

Miss Mtwara Remix...

Ericka Mchatta pichani kulia...siamini amekua mmama hivi kweli tunda baya. Enzi za nyuma kisura alikuwa MVP kwenye mambo ya urembo ona sasa hivi....Daaamn hujafa hujaumbika kwa kweli! Kutoka kuwa kama Alicia Keys mpaka kuja kufanana na Busta Rhymes!

Thursday, February 11, 2010

Mambo gani sasa haya tena?

Kama kula tunda huwezi basi acha mwanawane. Sijui ni umri ndiyo umefikia pabaya au ni tatizo jingine kwani kijana aliangusha kwa muda mrefu bila hata kujifahamu. Chauka kuna Pobobawa kwangu so be careful! Hilo lilikuwa ni wazo la bure tu na ni warning kwako kwani siku nyingine unaweza ukaamka na mabaki ya yai bichi kwenye makalio.

Hii picha kapiga nani?

Wewe unampiga picha mwanamke kwenye kitanda akiwa ameshika kilaji...ulikuwa una maana gani? Dada huyu bwana kapendeza kweli na anaonekana wala halikuwa hana ihana na mtu kwani kajitulizia mkiwa wake kwenye kitanda cha Guest za Kimara. Lazima hapa utoke na mba kwani panaonekana kabisa kuwa hapafai mwanawane. Ila shemeji hoteli ya mtoto imependeza kweli...so tasty! Yummy yummy...

Jamani ni kiwanja kweli hapa?

Yaani kweli Bongo kuna mengi kwani watu wanakula "BATA" na ndala? Sasa kama wewe unakwenda kula tunda na hata huwezo wa kununua viatu tu huna unataka kuniambia kwamba una akili kweli? Ukikanyagwa je? Ndiyo maana nyapu za Bongo kucha mbaya kwani ni kwasababu ya kukanyagwa sana Kiwanja! This needs to stop!

Majani mabaya!

Mdau Ngassa D akiwa na Baba Naima...hapa inaonekana faza wa kushoto yupo majani si kitoto, na hiki kijiti nadhani ni cha Newton, Kansas kwani tapeli huyu hupenda sana kuhudhuria places hizo. Ngassa D nayeye anaonekana alikuwa ameshiba kweli maana alivyosimama tu basi utagundua kwamba Mpemba huyu alikuwa amevimbiwa!

Nguza, Papii kurudi gerezani kutumikia kifungo.

MAHAKAMA ya Rufaa nchini imeamuru mwanamuziki Nguza Vikingi na mwanae Johnson Nguza warudishwe gerezani kwenda kutumikia kifungo cha maisha baada ya kuonekana kuwa na hatia ya kutenda makosa hayo.

Mbali na wawili hao kurudishwa gerezani mahakama hiyo imewaachia huru watoto wa mwanamuziki huyo ambao wote walikuwa wanatumikia kifungo hicho baada ya mahakama hiyo kuona washitakiwa hao walibambikiziwa kesi.

Walioachiwa huru ni mshitakiwa wa tatu Mbanga Nguza na mshitakiwa wa nne, Fransic Nguza ambao ni watoto wa mwanamuziki huyo wameonekana kutokuwa na hatia na hawakuhusika katika ubakaji huo.

Nguza na Johnson “Papii” wamerudishwa gerezani kwa kupatikana na mashitaka matano ambayo yaliwarudisha rumande kati ya mashitaka 23 yaliyokuwa yanawakabili awali.

Hivyo hukumu hiyo ilioyotolewa mahakmani hapo leo asubuhi ndio mahakama ambayo ina mamlaka ya mwisho dhidi ya rufaa iliyowasilishwa na washitkwia hao na hawataweza kuachiwa huru tena labda msamaha wa rais uweze kuwakomboa wanamuziki hao.

Tuesday, February 9, 2010

Yanga Yaivurumisha Mtibwa.

Krosi safi ya John Njoroge katika dakika ya 15 ilimfikia Boniface Ambani aliyeukwamisha mpira kimiani huku kipa Shaaban Kado asijue la kufanya, bao hilo lilidumu hadi katika dakika ya 30 baada ya Mohamed Ally wa Mtibwa kusawazisha bao hilo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Bao la pili la Yanga lilifungwa na Steven Bengo katika dakika ya 84 na dakika sita baadaye, Geoffrey Bonny aliifungia Yanga bao la tatu kwa shuti kali nje ya 18.
Kwa matokeo hayo, Yanga imefikisha pointi 36 huku Simba yenyewe ikiwa na pointi 43 ikiwa ni tofauti ya pointi saba.

Jah Kimbute feat. Kajumulo...

Hapa kazi ilikuwepo...mwangalie Baba Chuki kulia picha na mdogo wake Baba Naima...wameacha familia zao nyumbani na sasa wanamwaga radhi tu. Namuonea huruma sana mrembo huyu kwani ni bora akae mbali na hii combination ya Chamriho ni wabaya sana kwa pasi fupi..."KURA URIWE" ndiyo style yao wadau hawa!

Mrembo wa week!

Kazi ipo...sasa jamani kama unaishi na presha kama hii nyumbani si ni bora niwe na mganga wa kujitegemea? Kwani nitakufa kwa Heart Attack mapema sana may be baada ya Honey moon. Kuna watu wameumbwa halafu kuna wale walio umbwa kwa more than normal days! Huyu naona walimuumba siku ya nane na ya tisa. (DIAGI JANGUO) Daaamn girl you are hot!

Sometimes ndoto nyingine ni Impossible kuwa kweli!

Dogo anaonekana kuanza kukata tamaa kwani nauhakika kabisa hilo guitar halitoi sauti kabisa. Huyu kilichobakia ni kuacha shule na kuanza kuvuta "NDUMU". Mdau wa kulia sijui anafanya nini kwenye photo hii. Wazungu bwana...wamewatandika picha watoto hawa kwenye banda sijui...I'm mad for real! Ila wee Ronald si ukamchukue mdogo wako mwa mwisho huyu kule Lindi basi? Usimwache kama hivi bwana...mnunulia hapa payless shoes basi na yeye aonekane ana bro kiwanja mwanawane...

Tumetoka mbali jamani...

Unaniambia niisaidie Haiti na wakati tulipotoka tu ni kama motoni! Kweli hapa unategemea mwanafunzi awe na mwandiko mzuri kweli? Mambo mengine mimi yananiumiza moyo kweli kwani nikiona hivi halafu huku ng'ambo watu wanakula "BATA" ...Ila Mungu mkubwa kwani ndiyo maneno ya watu masikini kama wakina sisi. Kila mara tukiishiwa basi tunasema "MUNGU YUPO" Hii ni shule ya msingi ambayo mdau wetu Salehe a.k.a Kanye West ndiyo alikuwa Kiranja mkuu kwa muda wa miaka miwili kabla ya nafasi hiyo haijachukuliwa na Mwesiga a.k.a Tolu!

Gari moshi Chiboko!

Mwandisi wa kujitegemea "Msukuma" mbeleni kulia akiwa anaelekea kwao Magu few weeks ago wakati alipokwenda kutembelea Bongo baada ya kupata shahada yake ya Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Wichita State. Mdau huyu alikuwa analala kwenye Motel ya Kashozi Inn pale Magu, Mwanza. According na yeye ni kwamba alikuwa ana"share" kitanda na mtu mwingine kwani Motels wilayani hapo ni moja tu...Sasa swali langu kwake lilikuwa ni " Walikuwa wanatumia shuka moja na je walikuwa wanalala na boxers and chupi tu" Alishindwa kabisa kunipatia jibu la swali langu na alionekana kuchefukwa sana kwa swali hilo....Anyway nitamuuliza sometimes this month!

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...