Wednesday, January 27, 2010

MC kutoka Magu, Mwanza aibuka na single mpya.

Kijana siyo siri wave limekubali kwa kwenda mbele kweli maji ya kisima dawa. Mdau hapa alikuwa "Masanga ya kufa mtu" Ha ha ha....tapeli huyu anayo single yake hewani sasa hivi ameitoa since January 24, na kama unataka kuipata basi wewe nitafute kwani ni exclusive kwa wababe kama akina sisi tu... Hongera mdau...You know what I mean!

Mwanaume Mwingine Apata Mimba, Kujifungua Mwezi Ujao.


Scott Moore mwanaume wa hapa Marekani ambaye alizaliwa kama mwanamke anatarajia kuwa mwanaume wa pili wa nchini Marekani kupata mimba na kujifungua mtoto.Scott anatarajia kujifungua mtoto wa kiume mwezi ujao.

Mume wa Scott ambaye naye alizaliwa mwanamke kabla ya kubadilisha jinsia na kubadilisha nyeti zake, anatarajia kuwa pembeni ya Scott wakati wa kujifungua.
Scott amejibadilisha jinsia kuwa mwanaume lakini alikubaliwa kuolewa kisheria na Thomas kwa kutumia cheti chake cha kuzaliwa ambacho kinamuonyesha kuwa yeye ni mwanamke.

Thomas yeye anahesabika mwanaume kwakuwa alibadilisha jinsia yake na kufanya operesheni ya kuuondoa uke na kuupandikiza uume.Scott yeye bado hajafanya operesheni hiyo ya kuuondoa uke wake hivyo bado ana sehemu za siri za kike.

"Tunajua watu watatukosoa lakini sisi tuna furaha ya kupata mtoto na wala hatujisikii vibaya", alisema Scott mwenye umri wa miaka 30 ambaye alisema mtoto wao wamepanga kumpa jina la Miles.Scott anasema kwamba alizaliwa kama mwanamke akipewa jina la Jessica na alianza kupata shauku ya kuwa mwanaume alipoanza kupevuka alipokuwa na umri wa miaka 11.

Scott aliendelea kusema kuwa wazazi wake awali walimpinga lakini baadae walimsaidia kutimiza nia yake ya kuwa mwanaume.Alianza kumeza vidonge vya homoni za kiume alipokuwa na umri wa miaka 16 na wazazi wake walimlipia gharama za kuyaondoa matiti yake.Scott anasema kuwa alishindwa kulipia gharama za operesheni ya kuutoa uke wake na kuupandikiza uume hivyo hadi leo bado ana sehemu za siri za kike.

Thomas kwa upande wake yeye alifanikiwa kufanya operesheni ya kuuondoa uke na kuupandikiza uume mwaka jana.Scott alipata ujauzito baada ya kupandikizwa mbegu za kiume za mwanaume ambaye yuko karibu na familia hiyo.Scott anasema kuwa ana mpango wa kumzaa mtoto wake kwa njia ya asili.

"Hatukutaka kuwashtua watu watakapoona mwanaume anajitokeza kuja kujifungua", alisema Scott akielezea jinsi walivyomtafuta daktari wa kumzalisha. Scott anasema kuwa hawakumpata kirahisi daktari huyo kwani madaktari wengi walikuwa wakikwepa kuonana naye na hata kumpa matibabu."Tunataka kuwaonyesha watu kuwa watu waliobadilisha jinsia nao wanaweza kuanzisha familia zilizojaa upendo na furaha", alisema Thomas.

Kikwete safarini Uswisi.

Taarifa hiyo iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jijini Dar es Salaam na kunifikia mimi kwenye Blog yangu leo asubuhi.

Taarifa hiyo ilisema kikao hicho kitakachoanza kesho na kumalizika Januari 30, mwaka huu, kinahudhuriwa na viongozi wakuu wa nchi, wachumi, viongozi wa mashirika mbalimbali, wanataaluma, viongozi wa dini na wanaharakati mbalimbali duniani.

Mara baada ya kikao cha Davos, Rais Kikwete ataelekea Addis Ababa, Ethiopia kuhudhuria kikao cha kila mwaka cha Wakuu wa Nchi za Afrika, kitakachoanza Januari 31 hadi Februari 2, mwaka huu na kurejea nchini
.

Yes indeed maalim!

Biblia ingekuwa inapicha kama hizi ndani yake, basi nakwambia pasingekuwepo na dini nyingine kabisaa... Yaani kama kwenye kitabu cha Wakorinto mambo yangekuwa yanapendeza kama hivi...nakwambia hakuna mtu angefungua kurasa nyingine katika Biblia. Anyway acha kuchungulia kwa sana kwani ni dhambi na naogopa kama upo peke yako msela wangu, basi lotion itakutambua mwanawane...tehe tehe tehe!

Mambo ya South Seneca haya...

Pombe kitu kibaya...demu alikuwa kimya huyu kipindi chote alichokuwa Club mpaka milango ya karibia na majogoo pale "ze kick" ilivyoanza kufanya surprising zake! Ni mmoja wa madenti wenye upeo mkubwa sana College ila inapokuja kwenye kumwaga radhi...aaahaaa....hayupo nyuma vile vile. Wadau wa Chuo wakiona hii picha basi lazima scholarship iwekwe kwenye likizo for a while.

ZUMBE ATOGOLWE!

Dawa za Kichina zimeingia Bongo nakwambia kila mwanamke sasa hivi jinsi linambana kwenye makalio. Ila sometimes inakuwa ni karaha kwani hii hapa ni kama uki"run" red lights...unakula ticket tu. Sijui kama anaweza kupanda Bajaj huyu...wadau mnasemaje hapo?!

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...