
Duniani kuna mengi...huwezi kuamini kuwa wengi wetu siku za nyuma hapo maisha yalikuwa kama haya ila kwa sasa tangu umetua ughaibuni basi umesahau kabisa mambo ya kulia kwenye coffee table. Hujafa hujaumbika kwa kweli! Unaliona "DUMU" la maji? Na lazima hayo maji yawe yaliyochemshwa...Kipindupindu...tehe tehe tehe!
No comments:
Post a Comment