Hii ndiyo Bar inayosemakana kwamba Mdau Andrew Mkinga alionekana mara ya mwisho akiwa amezimika vibaya sana. Hadi kwa sasa hakuna anayejua ni nini kimemtokea kijana wetu so far. Ila kwa habari ambazo bado hatujazihakiki inasemekana kwamba ameonekana kwenye msafara wa hawa jamaa chini hapa.... Sasa sijui ilikuwaje mpaka akaishia kwenye huu msafara... Kama ukiangalia vizuri kwa nyuma basi utamuona Mdau Andrew akiwa na top nyeupe na wig kichwani....Bado tunaendelea kumtafuta on air tujue alikuwa anafanya nini kwenye huu msafara katika mitaa ya Kinondoni karibia na Msese Road.
This is the only photo nadhani jamani hana Vodka on the side. I think ndiyo alikuwa amefika mitamboni na lazima songs zilikuwa bored kinoma kwani he can't DJ without it. Oooh may be iko on the other side of the table. Any comment on this?
Thabeet...fuck the fame just kamata mshiko mwanawane kwani hiyo ni train na wewe bado una muda wa kumwaga wa kuzichanga mwache apite. Ila kama unahitaji mshauri wa entrepreneurship basi let me know kwani ni major yangu hiyo mpwa...tehe tehe tehe!
Kama unatafuta karatasi basi mambo haya ni kawaida sana kwani utaambiwa jamaa ni cousin na mambo kama hayo kumbe anakula kilicho chako wakati wewe unapiga hours. Ila wazo la haraka haraka tu ni kwamba husifanye kazi mbili kama unampenda mke wako kwani kuna watu watatumia muda wa kazi yako ya pili kumridhisha mkeo na hii kweli inatokea all the time. Believe or not lakini kama na wewe unafanya kazi mbili basi kuna mme mwenza. Hii ni kama Law kwani haibadiliki no matter who you think you are...so quit the second job or too much overtime before hujalea mtoto ambaye si wako mwayego.
Ona mambo haya...msanii wetu maarufu sana Stanboi " The Africanchild" akiwa amesahau kilichomleta Marekani na kuanza kula raha kwa kwenda mbele... I like the position of tha jeans. Bwana weee....Kweli hapa ilikuwa inapigwa Bolingo kwani hii position inanikumbusha kipindi cha Clouds FM na DJ Charles mambo ya African Bambataa if you know what I mean though. Hivi unazania kuna kurudi kujenga taifa letu la Tanzania hapa kwa kweli? I doubt...
Tapeli Andrew a.k.a MD hawezi kukaa kimya yaani. He always has something to say even if no one listens. Mambo ya usiku mnene hapa bwana naona team zima la Academia lilikuwepo on the spot. I love this country mambo haya ndiyo yanafanya baadhi yetu tushindwe kwenda shule au kukumbuka nyumbani. Is this guy on the left Poppa? Damn kweli tunda limemkubali mpwa wangu.
Vijana wanaonekana kama ni magangster kumbe ukiwasachi hata kiwembe hawana. Ona huyu tapeli wa kulia a.k.a Poborsky akitupa sign kama anajua hata kurusha teke kwa habari za ndani ni kwamba kijana huyu anakuja na single yake akimshirikisha Webbie for more details just keep on login on this blog. Shemeji yake "Mwanawane Masanja" a.k.a Brian anategemea mtoto anytime soon. Kila la heri mpwa kwa kuweza kukick field goal in the year 2010!
Wadau hawa bwana wanampango wa kuingia Bongo na kwenda kuwaliza Magabachori. Nilikuwa nao last weekend wakiwa wananipa plans zao za ni jinsi gani watakavyofanikiwa basi nikaona kwa kweli wanawazo la msingi sana. King kupa (Kushoto kabisa) na Mwanawane Masanja (Katikati) walimsajili msanii Stanboi "The Africanchild" (Kulia) baada ya kupass kwa asilimia kubwa sana kwenye nafasi yao moja iliyokuwa imebakia kwenye hiyo crew yao. Kila la heri vijana wangu ila mkienda Bongo mnao uwezo wa kurudi? Hilo ndilo swali langu la leo!
Mambo ya kawaida jamani...
Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!
9 Things I Hate About Everyone
1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?
2 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually.
3 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it?
4 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they? cause I amGonna Kick their asses!
5 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor.
6 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine?
7. When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.
8 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?
9 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass?