Monday, January 25, 2010

Simba SC yaendeleza wimbi la ushindi wa mfululizo.


Wachezaji wa timu ya Simba wameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuendeleza wimbi lake la ushindi wa mfululizo baada ya kuihukumu Prisons ya Mbeya tatu, na kuwaruhusu wahukumiwa hao kupata kamoja tu kwa kukimbia kiwanjani.

Magoli ya Simba yalifungwa na Mussa Hassan 'Mgosi' aliyefunga mabao mawili na Nico Nyagawa aliyefunga moja wakati lile la kufutia machozi la Prisons lilifungwa na mchezaji Misango Magae na hivyo, badi mwisho wa mechi, Simba 3 Prison 1. Timu hizo zilikipiga katika uwanja wa Uhuru. Timu ya Simba SC ilimaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya soka Tanzania kwa kuweka rekodi ya kutokufungwa mechi yoyote. Katika mzunguko wa pili, Simba imegeuza upande wa pili wa wembe na kuendelea kunyoa vipara kila timu wanayokutana nayo.

Ingewezekana, Liverpool FC, ingekopa tuushindi tudogo tokakwa Simba walao tuwasaidie kuepa hili balaa la kichapo wanachosiribwa 'left and right' katika msimu huu wa soka la Uingereza. mwe!

Kila Mtu Kusafiri Kwa Ndege Yake Mwenyewe...



Muda si mrefu kila mtu atakuwa na uwezo wa kumiliki ndege na kufanya safari zake mwenyewe kwani shirika la utafiti wa anga la Marekani NASA limevumbua ndege ya mtu mmoja yenye kutumia umeme yenye uwezo wa kutua kwenye makazi ya watu.

Ndege hiyo iliyopewa jina la Puffin ina uwezo wa kupaa mita 9,150 toka ardhini na ina uwezo wa kusafiri kwa spidi ya kilomita 225 kwa saa ingawa spidi hiyo inaweza kuongezeka hadi kufikia kilomita 450 kwa saa.
Ndege hiyo ya mtu mmoja yenye kutumia umeme hupaa na kutua kama helikopta.
Ndege hiyo huanza kupaa mtu akiwa amesimama na inapofika angani huanza kuchanja mbuga mtu akiwa amelala.
Iwapo betri la ndege hiyo litakuwa limechajiwa full, basi ndege hiyo ina uwezo wa kusafiri kilomita 80. Utafiti zaidi wa betri unaendelea ili kuiwezesha ndege hiyo kuwa na uwezo wa kusafiri kilomita 300 bila kupumzika.
Pia kutokana na kwamba ndege hiyo ni ndogo sana, haitahitaji kutua kwenye uwanja wa ndege na pia kwa kuwa haitoi kelele sana kama helikopta itakuwa na uwezo wa kutua kwenye makazi ya watu bila kusababisha kero kwa watu.
Ndege ya kwanza inatarajiwa kuwa tayari mwezi machi mwaka huu.

Mdaku huyu bwana..

Kijana huu ni uhuni tu... wewe unamtext nani usiku wote huu? Na kwanini unaficha text hapo? Nimegundua kwamba kijana siku hizi anarefuka kwani miaka nane iliyopita alikuwa hata kwenye kochi anapata tabu kuegemea ila kwa sasa naona mambo yake siyo mabaya. Anapendeza kabisa bwana... Kweli dawa za kichina naona zinafanya kazi... Hongera ngedere weye!

Kabla ya tukio..

Mdau anaonekana akiwa very sober hapa...Sasa soma habari kamili hapo chini ndiyo ujue kilauri kilivyo kibaya....

Wasanii wetu hawa...

Sasa utasema kwamba kweli tunaheshimu kazi zetu hapa. Kijana ana kipaji cha kufa mtu lakini mvinyo bwana unaturudisha nyuma kweli. Tunda kama hili haliendani kabisa na vazi lake jamaa. Hapa lazima uamke na hangover la ajabu. "I'ma take you out....but not tonight" Big up to DJ Smilez!!!

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...