
Kijana naona sasa ameanza kuweuka kwani alikuwaga gentlemen, ila ona sasa sijui ni nini kinamsibu kijana wetu huyu kwani mtindo wake wa nywele ni ule wa Kijogoo. Nadhani ni mambo ya kuwa bwii huku ukiwa unaangalia MTV usiku kucha, sasa unapoamka na kwenda Barbershop basi unakuwa na fikra za kilevi tu na kuomba styles za ajabu. Sasa ni nini hichi kichwani na kama si kifusi cha ujinga tu? Kudadadeki...