Thursday, January 21, 2010

BINTIYE AOLEWA NDOA YA KIFAHARI


Ilikuwa mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo ‘sosi’ wa kuaminika alipenyezewa ‘tipu’ ya kuwepo kwa maandalizi ya ndoa hiyo hivyo kutoa ‘chansi’ ya kujipanga kwa ‘kavareji’ ambayo ndiyo iliyozaa habari hii.

Katika kufanya ‘foloapu’ ilibainika kuwa send-off ya harusi hiyo ilichukuwa nafasi siku ya Alhamisi ndani Ukumbi wa Amjenn Exucutive Hotel, Mbezi Beach, kabla ya Jumamosi ndoa hiyo kufungwa katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili (KKKT) Azania Front, jijini Dar.

Katika ishu hiyo, Monalisa ‘inshoti’ Mona, na Hubert Millen Makundi ambao ‘bakigraundi’ zao zinabaki kuwa siri yao hadi atakaporejea mkombozi wa ulimwengu, walifunga ndoa hiyo baada ya programu zote kuwa zimetulia bila uwepo wa baba mzazi wa bibi harusi (Liyumba).

Wakiwa kanisani hapo, ilibidi asimame mtu ‘onbihafu’ ya Liyumba katika kipengele kilichomhitaji baba mzazi, jambo lililoibua masikitiko na tafakari juu ya ‘feeling’ za mdingi huyo kukosa tukio hilo la muhimu katika maisha ya mwanaye.

Pamoja na ‘ku-miss’ kwa Liyumba, ‘timbwili’ la sherehe ya haja lilihamia ndani ya Ukumbi wa Delux Kijiweni Sinza, jijini Dar ambapo waalikwa kutoka sehemu mbalimbali walifurika kushuhudia harusi hiyo huku wakipata nafasi kubwa ya kukandamiza vinywaji na vyakula vya kila aina vilivyoaandaliwa katika hadhi ya nyota tano.

Kwa mujibu wa Shushushu wetu aliyepata nafasi ya kuzama ndani ya ‘mpunga’ huo, kufuru ya sherehe hiyo ilijidhihirisha katika gharama kubwa kwani idara zote zilikuwa zimekamilika kuanzia usafiri hadi mabaki ya vipande vya kuku.

Sherehe hiyo ya kufa mtu ilichukua nafasi mishale saa 12:00 jioni ambapo ratiba kamili ya chereko chereko ilianza saa 1:00 usiku kwa Bwana na Bibi Harusi kutambulisha familia, ndugu, jamaa na marafiki wa pande zote mbili.

Sherehe nzima ilifikia ukingoni majira ya saa 7:00 usiku huku baadhi ya wahudhuriaji wakitambaa kufuatia kuwa ‘tilalila’ kwa mvinyo.

"Habari hii nimeidaka katika moja ya website za kibongo na zilikuwa zimewekwa kwenye gazeti la (RISASI MCHANGANYIKO). Wabongo kweli ni noma kwa kufuatilia mambo ya watu tu basi hawajambo"
Habari hizi nimezipata kwenye hii link hapa chini.
http://www.globalpublisherstz.com/risasimchanganyiko/

No comments:

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...