Naomba kuwapa mwaliko mashabiki wote wa Manchester United kuja kwangu kujionea choo changu kwani nimekifanyia renovation ya nguvu. Ila ningependa kwanza wasafishe miguu yao kabla ya kuingia chooni. Bryton nadhani utapendezwa sana na idea yangu hii kwani ni very unique and the best. Please feel free ku"comment" kwenye hii photo kama wewe ni shabiki wa Arsenal, Chelsea au Liverpool...kama nimesahau timu nyingine kubwa ya Premier league please remind me.
Sorry nimekumbuka team nyingine ambayo nayo ni kubwa kuliko Mtibwa Sugar inaitwa Manchester United sasa na mashabiki wao wanakaribisha KUTOKUTOA comments kwenye hii photo.
No comments:
Post a Comment