Kwa wale wabongo ambao wangependa au walikuwa na vitu vya kusafirisha kwenda bongo basi ningependa kuwapa habari njema.
Kijana Edwin ana mpango wa kuchukua container kutoka hapa united “majimbo” na kulisafirisha mpaka bongo,
Kijana eddie alikuwa anataka kuwataarifu wadau wengine ambao wana vitu vya kupeleka bongo, wawasiliane naye ili aweze kuwapa details zaidi kuhusiana na deal hilo ambalo ni la nafuu sana ukilinganisha na gharama ambazo mwanawane ungezitumia kusafirisha mizigo yako kwa njia nyingine.
Namba ya mdau huyu eddie ni:
316 516 2728.
No comments:
Post a Comment