Sunday, January 10, 2010

Akiondoka Torres ....haki ya nani ntaondoka!

Rafael Benitez akijaribu kufanya mipango
Meneja wa timu ya Liverpool, Rafael Benitez ameweka wazi kuwa atakuwa tayari kuondoka pale Anfield ikiwa kama nyota wake mshambuliaji Fernando Torres atauzwa bila ya idhini yake.

Haya yanafuatia hali ya kiuchumi katika klabu hiyo ambayo wengi sasa wanadhani kuwa wamiliki wa klabu hiyo Tom Hicks na George Gillett watashawishika kumuuza mshambuliaji huyo ikiwa kama ofa kubwa itakuja.

Hata hivyo kwa upande wake Benitez anadai kuwa kwa mamlaka yake mshambuliaji huyo hatouzwa kwa gharama yoyote, na kama ikitokea hivyo, basi yupo tayari kujiuzulu.

Katika msimu uliopita Liverpool ilitumia kiasi cha paundi za Uingereza milioni £20, kumleta Anfield, Alberto Aquilani jambo ambalo linaonekana kuwa ni matumizi makubwa, na Benitez anasema kwa jinsi hali ilivyo kiuchumi, hawezi kushindana na timu kama Manchester United na Chelsea katika kipindi cha usajili.

Akitete usajili wake, Benitez anasema "pale walipolazimika kutumia fedha, basi usajili wao umekuwa na mafanikio na akatoa mfano wa usajili wa Torres, Javier Mascherano, Pepe Reina na Xabi Alonso.

Kwa usajili wa Robbie Keane, mhispania anasema huyo ni mshambuliaji mzuri,ila walilazimika kumuuza kutokana na kushindwa kuwaridhisha na kiwango walichokitarajia.
Ryan Babel, kwa huyu anasema alisajiliwa kwa mipango ya baadae na sasa bado wanaendelea kumshinikiza akaze msuli ili apate nafasi katika kikosi cha kwanza.

Kwa sasa Liverpool bado inasuasua katika ligi kuu ya England ikiwa imesimama katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi, baada ya kupoteza michezo mitano katika ligi hiyo msimu huu.
Najua wapenzi wana wasiwasi..anasema Benitez lakini amewataka wawe na subra kwani timu itakuwa sawa na matokeo yatawaridhisha.

Kocha Wa Ivory Coast Aipigia Mahesabu Taifa Stars

KOCHA wa timu ya taifa ya Ivory Coast, 'The Elephants' Vahid Halilhodzic amesema yupo kuifundisha Taifa Stars mara baada ya kuisha kwa mkataba wa Marcio Maximo iwapo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), litamuhitaji.

West Africans are inside Academia House representin'.

Jamaa wanakula Bondo never seen before kwani kulikuwa na ugali wa kufa mtu lakini ulikwisha in seconds. Huu ulikuwa ni usiku mnene wenye baridi kwa kwenda mbele mwanawane. Huu mkono wa kushoto wa Stanboi sijui unafanya nini hapo ila so far so good!

YES IT'S ME!

Poborsky yupo bomba mbaya na bado anapeleka shots... Kweli msela wangu ni legendary I like that. I don't have a clue hii ni sign ya nini but I'm sure it looks really good on this photo... No comments please or I'll sue you.

Kitu na Box hapa!

Halafu mseme kwamba King Kupa hanenepi...si unamuona kijana anavyopendeza hapa jamani. Sahani inaonekana ni ya moto katika hii photo na mdau hayupo tayari kuwa patience kabisa na kusubiri. Ila it's all good mwanawane!

Chuzi limekubali mambo yee mambo waa...

Mwili haujengwi kwa vyakula vya makopo wewe...Na ni nani alikwambia kwamba wanawake wanajua kupika kuliko wanaume? Google then utagundua kwamba wanaume wakikaa jikoni wanatoa kitu delicious acha kabisa yaani. Check mdau tapeli huyu akiwa anabwia kama kalipia sahani vile.

Mambo ya kujipendelea haya bwana...

Hapa ni baada ya mdudu kufika jikoni kwangu kabla hatujaanza maankuli na masela wangu. Bwana eeh kupata mdudu mkubwa kama huyu na bado ana damu zake ni mambo ya kuwa na password kubwa bwana, na ni wachache sana tuliyo nayo hiyo... Holla at your boy kama unataka details.

Friday, January 8, 2010

Breaking News...

Hii ndiyo Bar inayosemakana kwamba Mdau Andrew Mkinga alionekana mara ya mwisho akiwa amezimika vibaya sana. Hadi kwa sasa hakuna anayejua ni nini kimemtokea kijana wetu so far. Ila kwa habari ambazo bado hatujazihakiki inasemekana kwamba ameonekana kwenye msafara wa hawa jamaa chini hapa.... Sasa sijui ilikuwaje mpaka akaishia kwenye huu msafara...

Kama ukiangalia vizuri kwa nyuma basi utamuona Mdau Andrew akiwa na top nyeupe na wig kichwani....Bado tunaendelea kumtafuta on air tujue alikuwa anafanya nini kwenye huu msafara katika mitaa ya Kinondoni karibia na Msese Road.

Huyu ni DJ Smiles...

This is the only photo nadhani jamani hana Vodka on the side. I think ndiyo alikuwa amefika mitamboni na lazima songs zilikuwa bored kinoma kwani he can't DJ without it. Oooh may be iko on the other side of the table. Any comment on this?

Pipi...move out of the way!

Thabeet...fuck the fame just kamata mshiko mwanawane kwani hiyo ni train na wewe bado una muda wa kumwaga wa kuzichanga mwache apite. Ila kama unahitaji mshauri wa entrepreneurship basi let me know kwani ni major yangu hiyo mpwa...tehe tehe tehe!

Don't do two jobs...

Kama unatafuta karatasi basi mambo haya ni kawaida sana kwani utaambiwa jamaa ni cousin na mambo kama hayo kumbe anakula kilicho chako wakati wewe unapiga hours. Ila wazo la haraka haraka tu ni kwamba husifanye kazi mbili kama unampenda mke wako kwani kuna watu watatumia muda wa kazi yako ya pili kumridhisha mkeo na hii kweli inatokea all the time. Believe or not lakini kama na wewe unafanya kazi mbili basi kuna mme mwenza. Hii ni kama Law kwani haibadiliki no matter who you think you are...so quit the second job or too much overtime before hujalea mtoto ambaye si wako mwayego.

USA tamu bwana...

Ona mambo haya...msanii wetu maarufu sana Stanboi " The Africanchild" akiwa amesahau kilichomleta Marekani na kuanza kula raha kwa kwenda mbele... I like the position of tha jeans.

Bwana weee....Kweli hapa ilikuwa inapigwa Bolingo kwani hii position inanikumbusha kipindi cha Clouds FM na DJ Charles mambo ya African Bambataa if you know what I mean though. Hivi unazania kuna kurudi kujenga taifa letu la Tanzania hapa kwa kweli? I doubt...

Bia Bia...

Tapeli Andrew a.k.a MD hawezi kukaa kimya yaani. He always has something to say even if no one listens. Mambo ya usiku mnene hapa bwana naona team zima la Academia lilikuwepo on the spot. I love this country mambo haya ndiyo yanafanya baadhi yetu tushindwe kwenda shule au kukumbuka nyumbani. Is this guy on the left Poppa? Damn kweli tunda limemkubali mpwa wangu.

Kamba tupu hizi...

Vijana wanaonekana kama ni magangster kumbe ukiwasachi hata kiwembe hawana. Ona huyu tapeli wa kulia a.k.a Poborsky akitupa sign kama anajua hata kurusha teke kwa habari za ndani ni kwamba kijana huyu anakuja na single yake akimshirikisha Webbie for more details just keep on login on this blog. Shemeji yake "Mwanawane Masanja" a.k.a Brian anategemea mtoto anytime soon. Kila la heri mpwa kwa kuweza kukick field goal in the year 2010!

Bwii la kufa mtu...

Wadau hawa bwana wanampango wa kuingia Bongo na kwenda kuwaliza Magabachori. Nilikuwa nao last weekend wakiwa wananipa plans zao za ni jinsi gani watakavyofanikiwa basi nikaona kwa kweli wanawazo la msingi sana. King kupa (Kushoto kabisa) na Mwanawane Masanja (Katikati) walimsajili msanii Stanboi "The Africanchild" (Kulia) baada ya kupass kwa asilimia kubwa sana kwenye nafasi yao moja iliyokuwa imebakia kwenye hiyo crew yao. Kila la heri vijana wangu ila mkienda Bongo mnao uwezo wa kurudi? Hilo ndilo swali langu la leo!

Thursday, January 7, 2010

Ivory Coast Yaifunga Rwanda 2-0

IVORY Coast ‘Tembo’ imeifunga Rwanda ‘Amavubi’ mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Jua ya Bongo noma!

Watoto hawa walikutwa wakinawa vichwa katika kulatain ya msikiti mmoja wa jijini Dar, kuonyesha jinsi jua ya jiji hilo lilivyo kali.

Siri ya ushindi

Ili ushinde unahitajika uwe stadi na makini ktk idara zote..Tobaa ilahi!

Sarakasi

Hizi salakasi nyengine ni mzozo jamani! sasa hapa tuseme.... basi tu!
Mtazame na huyu mwili wake ni wakiume lakini vp awe na matiti????


Wow... muangalie huyu hapa juu hivi kweli ni mwanamke au mwanaume? Embu nisaidieni waungwana maana kweli si dunia inaelekea pabaya.

NEAT HOUSE TO LET OR FOR SALE

SPACIOUS AND NEAT HOUSE TO LET OR FOR SALE
15 meters x 8 meters pool
3 BEDROOMS
1 BATHROOM
CHERRYWOOD KITCHEN
LOUNGE
NOOK/DINING ROOM
DOUBLE GARAGE
MASSIVE YARD
ON BUS ROUTE

AVAILABLE 15 Jan 2010

Wednesday, January 6, 2010

No comment here...do you have one?

That's good reason so many men do cheat...Now check this one and tell me what would you do if you and your partner are not happy like you used to? I betcha you can't think twice here. Yaani umekunywa pombe ya maana hapa kuna aja hata ya kuogopa kufumwa? Hata mama watoto naye atakusamehe mwanawane dunia ina mengi...

Old is when...

'OLD' IS WHEN...
Your friends compliment you on your new alligator shoes And you're barefoot.
'OLD' IS WHEN...
Your sweetie says, 'Let's go upstairs And make love,' and you answer, 'Pick one; I can't do both!'
'OLD' IS WHEN...
Going bra-less pulls all the wrinkles out of your face.
'OLD' IS WHEN....
You don't care where your spouse goes, just as long as you don't have to go along.
'OLD' IS WHEN...
You are cautioned to slow down by the doctor instead of by the police .
'OLD' IS WHEN..
'Getting a little action' means you don't need to take any fiber today.
'OLD' IS WHEN...
'Getting lucky' means you find your car in the parking lot.
'OLD' IS WHEN...
An 'all nighter' means not getting up to use the bathroom.

AND

'OLD' IS WHEN...
You are not sure if these are facts or jokes?

THE 2010 REDNECK CALENDAR GIRLS!












Ustadhi afumaniwa.



Huyu mdau kwa briefly alikuwa ni mwalimu mtegemewa wa Madras huko Vigwaza Kibaha ila kwa sasa ni pimp kwa kwenda mbele yaani. I need to contact his family to let them know kwani kweli hujafa hujaumbika. Anakula tunda kwa overtime kama unanielewa. Yakhe tumkumbuke na Mungu bwana...

Mmmh...Hii kali kweli kweli!

Mdau Martin Rutayebesibwa feeling the breeze kwa Poborsky a.k.a baba Chunky. I don't know why the guy has two cellphones na kama sio uhuni huu. Bro looking good though no ubaya about that. From my knowledge I heard jibaba yupo H-Town... Big up mpwa.

GOD BLESS OUR TROOPS.

Kijana Eilmer akiwa tayari kwenda kwenye ambush hapa...The guy is getting deployed to Afghanistan on February this year. I think he's well trained and more than ready for this... Be safe homeboy!

Tuesday, January 5, 2010

Mambo ya Tukunyema...

King Kupaz inside the building representing Bamizaaaa....

CHUZI LIMEKUBALI!

Mwanagwasuma naona anakula fundo la maana hapa...Engineer Buluba ameshine na Redbull.

Waiter?? Tikisa kama imekwisa...

That was a password hommies...Tehe tehe tehe!

Kila Mtu Atauchukua Mzigo Wake Mwenyewe...

Stan Boi akiwa anarekebisha mambo fulani kama unanipata basi wewe funika hiyo. Safari ni ndefu mpwa ila utafika tu. Mama amependeza kweli hapa...as always lakini.

Monday, January 4, 2010

Sunday Night at Solomon's House.

Munis Pierre akiwa na mdau vile vile producer Dj Dula a.k.a Puchi's brother wakisiliza idea kutoka kwa tapeli mmoja kulia hapo.


Duh jamaa sijui ni serial killer kulia kwa Smiles... I can't tell since he's kinda far from the photo.


Sajo naye alikuwepo... baada ya kazi ngumu ya kuzikusanya pesa za wabongo kwenye movie ya Baby Powder. Hapa naona akiwa na Mbelwa a.k.a Kaitaba wakiweka plans za kukuza vipaji vya wasanii wachanga wa hapa Wichita kama Kanye West a.k.a Salehe.


Still I can't tell if this guy is a serial killer au ni soldier tu kwani naona hapa kijiti cha kichicano kimekubali kwa kwenda mbele.


Hawa ni baadhi ya viongozi wa Tawichita. Thanks hommies kwani hamkaagi nyuma kutusaidia bwana especially kwenye mambo ya msiba kama haya. Mwenyekiti naona kitambi kinapendeza tu kweli maanjumati shemeji anayarekebisha.



Sijui ni nini kilikuwa kinaongelewa hapa ila inaonekana kama ni something not very important kwani Dj Smiles doesn't pay attention at all.


Sit down...


Yes indeed he's a serial killer. I can see all the proofs now from this photo. Thanks to the cameraman.



I don't know why some are laughing but Dj Smiles aint in it. I have to go google this one sometimes this week.


Raphael a.k.a Brian Mwanawane pays attention but not really listening. Tehe tehe...


Ha ha ha Manchester United fan. Kijana anaweza kunifunga jela huyu nikicomment something bad about his soccer team. No comment so far.

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...