SIMBA na Yanga zote za Dar es Salaam zimeendelea kung’ara katika Ligi Kuu ya Tanzanai Bara baada ya kushinda michezo yake ya wikiendi. Yanga ndiyo iliyokuwa ya kwanza kujiongezea pointi tatu baada ya kuifunga African Lyon kwa mabao 2-0, kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya ligi hiyo.
Mabao ya Yanga katika mchezo huo, yalifungwa na Jerry Tegete katika dakika ya 36. Tegete alifunga akiunga kona iliyochongwa na Abdi Kasim.
Huku mashabiki wakidhani mchezo huo ungemalizika kwa Yanga kutoka na ushindi wa bao 1-0, Idd Mbaga alitoa pasi safi kwa Mrisho Ngassa aliyemchambua kipa Ivo Mapunda wa Lyon na kuiandikia timu yake bao la pili na kuifanya Yanga kufikisha pointi 24.
Katika mchezo wa jana, Simba imeifunga Majimaji ya Songea mabao 2-0 huku mshambuliaji wake Mussa Mgosi akifunga mabao mawili na kuwa nyota wa mchezo.
Simba sasa inaongoza ligi hiyo kwa kuwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 12 na kushinda zote.
Monday, January 18, 2010
Simba, Yanga Hazikamatiki Ligi Kuu Bara.
Sunday, January 17, 2010
Maximo Awabeza Wanaomponda

| KOCHA wa Taifa Stars, Marcio Maximo amesema wadau wa soka wanaompinga wanazingatia zaidi matokeo mabaya ya timu hiyo na wala si mazuri aliyofanya. | ||
| Maximo aliliambia gazeti moja la kila siku kabla ya kuondoka nchini mwishoni mwa wiki kwa likizo ya wiki mbili nchini Brazil alisema kuwa, soka lina matokeo matatu, kushinda, kutoka sare au suluhu na kushindwa. Alisema kuwa ukiwauliza kwa nini wanampinga, watazungumzia matokeo mabaya ya timu tu na mapenzi binafsi na wala si yale mazuri ambayo ameyafanya akiwa na timu na rekodi yake na mapenzi binafsi. Kocha huyo ambaye anamaliza muda wake mwezi Juni mwaka huu, alisema kuwa watu wa aina hiyo ni hatari kwa maendeleo ya soka ya Tanzania kwani hawana mapenzi ya kweli. "Wao wanataka timu ishinde tu na wala si vinginevyo, soka haipo hivyo, hata Brazil, Hispania zinashindwa, zinatoka sare na kushinda. "Wapenzi wao wanaelewa hayo na wamekuwa wakitoa ushirikiano mkubwa na wala si kwa kuibagua timu kuzingania matokeo," alisema Maximo. Alisema kuwa kocha kama yeye amekumbana na hayo akiwa hapa nchini, lakini wapenzi hao hao walikuwa mstari wa mbele wakati timu inaingia katika mashindano ya CHAN, kutoka sare na vigogo vya soka barani Afrika na kushinda mechi kadhaa. "Sishangai, kwani watu hao wapo hapa Duniani na kila mtu na tabia yake, ila Taifa Stars inahitaji wapenzi wa kweli na wala si wa kubagua matokeo," alisema. Maximo anatarajia kujiunga na timu moja nchini Israel na changamoto kubwa ni kocha gani ambaye ataendeleza Tanzania kisoka kuanzia pale Mbrazili huyo alipoishia. | ||
| | ||
| | ||
Don't abuse alcohol please...
Usiku wa Sala kwa King Kupa!
Saturday, January 16, 2010
Is happening tonight!
Kama ilivyo kawaida yetu, basi kama unachochote kile si vibaya kukileta siku hii ya leo. Kwa habari kamili kuhusu maombi haya, unaweza kuzipata kwa kuwasiliana na mdau Solomon a.k.a DJ Smilez kwa namba ya simu ya mkononi...316 347 9773. Tunatanguliza shukrani zetu zote za dhati kwa wewe uliyesoma message hii. Please let some else know about this. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...Amen.
Republic of Zimbabwe (GDP – per capita: $500)
“The expression on these guys faces says a million things, weak from hunger and too poor to own shoes or have a shirt to wear. This is all because of the tyrant they call a president.A beautiful country ruined because of one mans greed. ” – Mr Sean
Republic of Zimbabwe is located between the Limpopo and Zambezi rivers in the south of Africa. Its economy suffers a slowdown due to supply shortage, soaring inflation and foreign exchange shortage. Zimbabwe’s involvement in the Democratic Republic of the Congo left its economy fragile. The worst consequence of the knelt-down economy is unemployment that is as high as 80%.Pinda atangaza mali zake...
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda ametangaza mali zake alizonazo anazozimiliki mbele ya vyombo vya habari ofisini kwake jana.Waziri Pinda aliamua kufanya hivyo ili kuweka bayana mali zake na kuonyesha mfano kwa viongozi wote nchini kufata kwa kuwa viongozi walitakiwa kuweka bayana mali zao ili kutekeleza sheria ya maadili ya uongozi.
"Hizo ndizo mali zangu nilizo nazo ndugu" alisema mbunge huyo wa Mpanda wakati akitangaza mali zake
Waziri mkuu aliyetambulika kwa jina la mtoto wa mkulima alitaja mali zake hizo na kusema haelewi yeye kwake utajiri ni nini na kusema mali hizo kwake anajiona ni tayari zimeshamtosheleza na wakati akianza kutaja mali zake hizo wka kujielezea mbele za wahariri alianza kwa kusema
"Nina nyumba Dodoma kutokana na utaratibu wa mikopo ya nyumba za serikali; nina nyumba Mpanda ambayo imepatikana kwa mpango wa kawaida tu, imetokana na visenti kidogo nikanunua pale ambapo bahati nzuri gharama za ujenzi hazikuwa kubwa sana, nikakikarabati kipo pale kipo Makanyagio pale."
"Haya! Ukitoka pale unataka niseme nini tena. Dar es Salaam sina nyumba ya kusema ya maana sana ukienda shambani Pugu kule kipo kinyumba kidogo hivyo inahitajika kazi ya ziada kuweza kufanya paonekane pa maana.
"Kijijini kwa baba yangu pale Kibaoni sina nyumba; pale mlipoona nimekaa na bibi tunapiga porojo, kile kijumba mimi na wadogo zangu tulimsaidia babu kwa ajili ya kumjengea babu yetu na pale ndipo nilipokuwa nafikia siku zote wakati wa likizo."
Pinda, ambaye amekuwa mbunge tangu mwaka 2000, alisema miaka yote alikuwa akifikia kwenye nyumba hiyo ambayo yeye ana chumba chake kimoja hali kadhalika babu yake.
Alisema baada ya kuteuliwa kuwa waziri mkuu, alijikuta kwenye wakati mgumu sana kwa kuwa alitaka kuendelea kufikia kwenye nyumba hiyo, lakini watu wa usalama walimkataza.
"Baada ya hii maneno inayoitwa uwaziri mkuu, nilipoteuliwa nikataka nifikie pale katika ile nyumba, lakini nikaambiwa hapana; haiwezekani; hapafai; huwezi kufikia pale,"alisema.
Alisema hilo ndilo lilikuwa tatizo lake la kwanza kwa hiyo anajaribu kujenga tena kitu ambacho na yeye atapata mahala pa kufikia pamoja na wasaidizi wake kwenye eneo hilo.
"Nimegundua tatizo ni hawa wakubwa. Pale kijijini kwetu hakuna nyumba za wageni hatuna chochote mi nilidhani nikienda kule nikiachwa kwa babu na bibi, wao wataenda huko umbali wa kilomita wakatafute pa kupumzika, lakini wakasema no! no! no! haiwezekani, nikawaelewa," alisema.
Alisema ukiondoa nyumba hiyo, vitu vya maana zaidi hana labda gari la mkopo na ni gari la mbunge.
Pinda aliendelea kuwaambia wahariri kuwa
"Hivi ukifika hivi unahitaji nini cha zaidi tena? Kwa hiyo kipato kidogo unachokipata unaweza kukitumia kwa ajili ya huduma za watoto wako kusoma na kadhalika kwa sababu ni vitu viko nje ya taratibu za serikali. Kwa hiyo huwa najiona tu kwamba na mimi nina bahati tu kwamba Mungu alinifikisha hapa nilipofika na kunifikisha katika nafasi hii imenipa ahueni," alisema.
Alisema kama masuala hayo muhimu yanatimia, wajibu wake ni kujaribu kulipa fadhila kwa Watanzania kwa kufanya kila atakaloweza kuwatumikia vizuri zaidi.
"Kwa hiyo mimi nina hakika zaidi kuwa kwa nafasi kama niliyo nayo, naweza kuishi bila tamaa ya mambo mengine zaidi... mimi hata hisa sina, sijanunua hisa mahali popote, lakini huko tunakokwenda naweza nikatamani nikatafuta hata hisa hivi, kwa ajili labda ya sababu fulani fulani," alisema.
SIRI IMEFICHUKA!
Look at this man!
Wasiovuma lakini wamo...
Thursday, January 14, 2010
This isn't funny!
Wednesday, January 13, 2010
Mama yake na Eugine Makupa amefariki dunia...
For more details about Eugine's msiba please call this number...316 299 3331.
Thanks!
Sunday, January 10, 2010
Akiondoka Torres ....haki ya nani ntaondoka!
Haya yanafuatia hali ya kiuchumi katika klabu hiyo ambayo wengi sasa wanadhani kuwa wamiliki wa klabu hiyo Tom Hicks na George Gillett watashawishika kumuuza mshambuliaji huyo ikiwa kama ofa kubwa itakuja.
Hata hivyo kwa upande wake Benitez anadai kuwa kwa mamlaka yake mshambuliaji huyo hatouzwa kwa gharama yoyote, na kama ikitokea hivyo, basi yupo tayari kujiuzulu.
Katika msimu uliopita Liverpool ilitumia kiasi cha paundi za Uingereza milioni £20, kumleta Anfield, Alberto Aquilani jambo ambalo linaonekana kuwa ni matumizi makubwa, na Benitez anasema kwa jinsi hali ilivyo kiuchumi, hawezi kushindana na timu kama Manchester United na Chelsea katika kipindi cha usajili.
Akitete usajili wake, Benitez anasema "pale walipolazimika kutumia fedha, basi usajili wao umekuwa na mafanikio na akatoa mfano wa usajili wa Torres, Javier Mascherano, Pepe Reina na Xabi Alonso.
Kwa usajili wa Robbie Keane, mhispania anasema huyo ni mshambuliaji mzuri,ila walilazimika kumuuza kutokana na kushindwa kuwaridhisha na kiwango walichokitarajia.
Ryan Babel, kwa huyu anasema alisajiliwa kwa mipango ya baadae na sasa bado wanaendelea kumshinikiza akaze msuli ili apate nafasi katika kikosi cha kwanza.
Kwa sasa Liverpool bado inasuasua katika ligi kuu ya England ikiwa imesimama katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi, baada ya kupoteza michezo mitano katika ligi hiyo msimu huu.
Najua wapenzi wana wasiwasi..anasema Benitez lakini amewataka wawe na subra kwani timu itakuwa sawa na matokeo yatawaridhisha.
Friday, January 8, 2010
Breaking News...
Hii ndiyo Bar inayosemakana kwamba Mdau Andrew Mkinga alionekana mara ya mwisho akiwa amezimika vibaya sana. Hadi kwa sasa hakuna anayejua ni nini kimemtokea kijana wetu so far. Ila kwa habari ambazo bado hatujazihakiki inasemekana kwamba ameonekana kwenye msafara wa hawa jamaa chini hapa.... Sasa sijui ilikuwaje mpaka akaishia kwenye huu msafara...Don't do two jobs...
Kama unatafuta karatasi basi mambo haya ni kawaida sana kwani utaambiwa jamaa ni cousin na mambo kama hayo kumbe anakula kilicho chako wakati wewe unapiga hours. Ila wazo la haraka haraka tu ni kwamba husifanye kazi mbili kama unampenda mke wako kwani kuna watu watatumia muda wa kazi yako ya pili kumridhisha mkeo na hii kweli inatokea all the time. Believe or not lakini kama na wewe unafanya kazi mbili basi kuna mme mwenza. Hii ni kama Law kwani haibadiliki no matter who you think you are...so quit the second job or too much overtime before hujalea mtoto ambaye si wako mwayego.USA tamu bwana...
Bia Bia...
Kamba tupu hizi...
Bwii la kufa mtu...
Thursday, January 7, 2010
Mambo ya kawaida jamani...
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!
9 Things I Hate About Everyone
1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?
2 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually.
3 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it?
4 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they? cause I amGonna Kick their asses!
5 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor.
6 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine?
7. When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.
8 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?
9 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass?
If you are having a bad day, remember it could be worse...













