Wadau wa Manchester United a.k.a "UWT" hapa ukipita na Jersey ya team dume dunia kwa jina "LIVERPOOL FC" Wanaweza kukumeza hawa watu. Ila nimefurahishwa nao sana kwani juzi kati walionekana wakiwa wamevaa jersey la Liverpool kwa madai kwamba zimewapendeza...tehe tehe! Hongera sana vijana wangu lazima mje kuwa ma"model" nyie!
No comments:
Post a Comment