Friday, January 8, 2010

Breaking News...

Hii ndiyo Bar inayosemakana kwamba Mdau Andrew Mkinga alionekana mara ya mwisho akiwa amezimika vibaya sana. Hadi kwa sasa hakuna anayejua ni nini kimemtokea kijana wetu so far. Ila kwa habari ambazo bado hatujazihakiki inasemekana kwamba ameonekana kwenye msafara wa hawa jamaa chini hapa.... Sasa sijui ilikuwaje mpaka akaishia kwenye huu msafara...

Kama ukiangalia vizuri kwa nyuma basi utamuona Mdau Andrew akiwa na top nyeupe na wig kichwani....Bado tunaendelea kumtafuta on air tujue alikuwa anafanya nini kwenye huu msafara katika mitaa ya Kinondoni karibia na Msese Road.

Huyu ni DJ Smiles...

This is the only photo nadhani jamani hana Vodka on the side. I think ndiyo alikuwa amefika mitamboni na lazima songs zilikuwa bored kinoma kwani he can't DJ without it. Oooh may be iko on the other side of the table. Any comment on this?

Pipi...move out of the way!

Thabeet...fuck the fame just kamata mshiko mwanawane kwani hiyo ni train na wewe bado una muda wa kumwaga wa kuzichanga mwache apite. Ila kama unahitaji mshauri wa entrepreneurship basi let me know kwani ni major yangu hiyo mpwa...tehe tehe tehe!

Don't do two jobs...

Kama unatafuta karatasi basi mambo haya ni kawaida sana kwani utaambiwa jamaa ni cousin na mambo kama hayo kumbe anakula kilicho chako wakati wewe unapiga hours. Ila wazo la haraka haraka tu ni kwamba husifanye kazi mbili kama unampenda mke wako kwani kuna watu watatumia muda wa kazi yako ya pili kumridhisha mkeo na hii kweli inatokea all the time. Believe or not lakini kama na wewe unafanya kazi mbili basi kuna mme mwenza. Hii ni kama Law kwani haibadiliki no matter who you think you are...so quit the second job or too much overtime before hujalea mtoto ambaye si wako mwayego.

USA tamu bwana...

Ona mambo haya...msanii wetu maarufu sana Stanboi " The Africanchild" akiwa amesahau kilichomleta Marekani na kuanza kula raha kwa kwenda mbele... I like the position of tha jeans.

Bwana weee....Kweli hapa ilikuwa inapigwa Bolingo kwani hii position inanikumbusha kipindi cha Clouds FM na DJ Charles mambo ya African Bambataa if you know what I mean though. Hivi unazania kuna kurudi kujenga taifa letu la Tanzania hapa kwa kweli? I doubt...

Bia Bia...

Tapeli Andrew a.k.a MD hawezi kukaa kimya yaani. He always has something to say even if no one listens. Mambo ya usiku mnene hapa bwana naona team zima la Academia lilikuwepo on the spot. I love this country mambo haya ndiyo yanafanya baadhi yetu tushindwe kwenda shule au kukumbuka nyumbani. Is this guy on the left Poppa? Damn kweli tunda limemkubali mpwa wangu.

Kamba tupu hizi...

Vijana wanaonekana kama ni magangster kumbe ukiwasachi hata kiwembe hawana. Ona huyu tapeli wa kulia a.k.a Poborsky akitupa sign kama anajua hata kurusha teke kwa habari za ndani ni kwamba kijana huyu anakuja na single yake akimshirikisha Webbie for more details just keep on login on this blog. Shemeji yake "Mwanawane Masanja" a.k.a Brian anategemea mtoto anytime soon. Kila la heri mpwa kwa kuweza kukick field goal in the year 2010!

Bwii la kufa mtu...

Wadau hawa bwana wanampango wa kuingia Bongo na kwenda kuwaliza Magabachori. Nilikuwa nao last weekend wakiwa wananipa plans zao za ni jinsi gani watakavyofanikiwa basi nikaona kwa kweli wanawazo la msingi sana. King kupa (Kushoto kabisa) na Mwanawane Masanja (Katikati) walimsajili msanii Stanboi "The Africanchild" (Kulia) baada ya kupass kwa asilimia kubwa sana kwenye nafasi yao moja iliyokuwa imebakia kwenye hiyo crew yao. Kila la heri vijana wangu ila mkienda Bongo mnao uwezo wa kurudi? Hilo ndilo swali langu la leo!

Thursday, January 7, 2010

Ivory Coast Yaifunga Rwanda 2-0

IVORY Coast ‘Tembo’ imeifunga Rwanda ‘Amavubi’ mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Jua ya Bongo noma!

Watoto hawa walikutwa wakinawa vichwa katika kulatain ya msikiti mmoja wa jijini Dar, kuonyesha jinsi jua ya jiji hilo lilivyo kali.

Siri ya ushindi

Ili ushinde unahitajika uwe stadi na makini ktk idara zote..Tobaa ilahi!

Sarakasi

Hizi salakasi nyengine ni mzozo jamani! sasa hapa tuseme.... basi tu!
Mtazame na huyu mwili wake ni wakiume lakini vp awe na matiti????


Wow... muangalie huyu hapa juu hivi kweli ni mwanamke au mwanaume? Embu nisaidieni waungwana maana kweli si dunia inaelekea pabaya.

NEAT HOUSE TO LET OR FOR SALE

SPACIOUS AND NEAT HOUSE TO LET OR FOR SALE
15 meters x 8 meters pool
3 BEDROOMS
1 BATHROOM
CHERRYWOOD KITCHEN
LOUNGE
NOOK/DINING ROOM
DOUBLE GARAGE
MASSIVE YARD
ON BUS ROUTE

AVAILABLE 15 Jan 2010

Wednesday, January 6, 2010

No comment here...do you have one?

That's good reason so many men do cheat...Now check this one and tell me what would you do if you and your partner are not happy like you used to? I betcha you can't think twice here. Yaani umekunywa pombe ya maana hapa kuna aja hata ya kuogopa kufumwa? Hata mama watoto naye atakusamehe mwanawane dunia ina mengi...

Old is when...

'OLD' IS WHEN...
Your friends compliment you on your new alligator shoes And you're barefoot.
'OLD' IS WHEN...
Your sweetie says, 'Let's go upstairs And make love,' and you answer, 'Pick one; I can't do both!'
'OLD' IS WHEN...
Going bra-less pulls all the wrinkles out of your face.
'OLD' IS WHEN....
You don't care where your spouse goes, just as long as you don't have to go along.
'OLD' IS WHEN...
You are cautioned to slow down by the doctor instead of by the police .
'OLD' IS WHEN..
'Getting a little action' means you don't need to take any fiber today.
'OLD' IS WHEN...
'Getting lucky' means you find your car in the parking lot.
'OLD' IS WHEN...
An 'all nighter' means not getting up to use the bathroom.

AND

'OLD' IS WHEN...
You are not sure if these are facts or jokes?

THE 2010 REDNECK CALENDAR GIRLS!












Ustadhi afumaniwa.



Huyu mdau kwa briefly alikuwa ni mwalimu mtegemewa wa Madras huko Vigwaza Kibaha ila kwa sasa ni pimp kwa kwenda mbele yaani. I need to contact his family to let them know kwani kweli hujafa hujaumbika. Anakula tunda kwa overtime kama unanielewa. Yakhe tumkumbuke na Mungu bwana...

Mmmh...Hii kali kweli kweli!

Mdau Martin Rutayebesibwa feeling the breeze kwa Poborsky a.k.a baba Chunky. I don't know why the guy has two cellphones na kama sio uhuni huu. Bro looking good though no ubaya about that. From my knowledge I heard jibaba yupo H-Town... Big up mpwa.

GOD BLESS OUR TROOPS.

Kijana Eilmer akiwa tayari kwenda kwenye ambush hapa...The guy is getting deployed to Afghanistan on February this year. I think he's well trained and more than ready for this... Be safe homeboy!

Tuesday, January 5, 2010

Mambo ya Tukunyema...

King Kupaz inside the building representing Bamizaaaa....

CHUZI LIMEKUBALI!

Mwanagwasuma naona anakula fundo la maana hapa...Engineer Buluba ameshine na Redbull.

Waiter?? Tikisa kama imekwisa...

That was a password hommies...Tehe tehe tehe!

Kila Mtu Atauchukua Mzigo Wake Mwenyewe...

Stan Boi akiwa anarekebisha mambo fulani kama unanipata basi wewe funika hiyo. Safari ni ndefu mpwa ila utafika tu. Mama amependeza kweli hapa...as always lakini.

Monday, January 4, 2010

Sunday Night at Solomon's House.

Munis Pierre akiwa na mdau vile vile producer Dj Dula a.k.a Puchi's brother wakisiliza idea kutoka kwa tapeli mmoja kulia hapo.


Duh jamaa sijui ni serial killer kulia kwa Smiles... I can't tell since he's kinda far from the photo.


Sajo naye alikuwepo... baada ya kazi ngumu ya kuzikusanya pesa za wabongo kwenye movie ya Baby Powder. Hapa naona akiwa na Mbelwa a.k.a Kaitaba wakiweka plans za kukuza vipaji vya wasanii wachanga wa hapa Wichita kama Kanye West a.k.a Salehe.


Still I can't tell if this guy is a serial killer au ni soldier tu kwani naona hapa kijiti cha kichicano kimekubali kwa kwenda mbele.


Hawa ni baadhi ya viongozi wa Tawichita. Thanks hommies kwani hamkaagi nyuma kutusaidia bwana especially kwenye mambo ya msiba kama haya. Mwenyekiti naona kitambi kinapendeza tu kweli maanjumati shemeji anayarekebisha.



Sijui ni nini kilikuwa kinaongelewa hapa ila inaonekana kama ni something not very important kwani Dj Smiles doesn't pay attention at all.


Sit down...


Yes indeed he's a serial killer. I can see all the proofs now from this photo. Thanks to the cameraman.



I don't know why some are laughing but Dj Smiles aint in it. I have to go google this one sometimes this week.


Raphael a.k.a Brian Mwanawane pays attention but not really listening. Tehe tehe...


Ha ha ha Manchester United fan. Kijana anaweza kunifunga jela huyu nikicomment something bad about his soccer team. No comment so far.

Wednesday, December 16, 2009

This is funny

Geography of a WOMAN

Between 18 and 22, a woman is like Africa : half discovered, half wild,
fertile and naturally beautiful.

Between 23 and 30, a woman is like Europe : well developed and open to trade, especially for someone of real value.

Between 31 and 35, a woman is like Spain : very hot, relaxed, and
convinced of her own beauty.

Between 36 and 40, a woman is like Greece : gently aging but still a
warm and desirable place to visit.

Between 41 and 50, a woman is like Great Britain : with a glorious and
all conquering past.

Between 51 and 60, a woman is like Israel : has been through war,
doesn't make the same mistakes twice, takes care of business.

Between 61 and 70, a woman is like Canada : self-preserving, but open to meeting new people.

After 70, she becomes Tibet : wildly beautiful, with a mysterious past
and the wisdom of the ages, an adventurous spirit and a thirst for
spiritual knowledge.

Geography of a MAN

Between 1 and 90, a man is like Iran , ruled by nuts.

THE END

Tuesday, December 1, 2009

What a pet!

New club in dar(mens toilet)


Guys lets wash our hands slowly heheh..look at the one far right lol

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...