Tuesday, January 19, 2010

10 Health Tips...

1. Drink 8-10 glasses of water each day - this helps flush your body of impurities and fat. You can also substitute a few glasses of water for green or herbal tea.

2. Break up your meals into 5 or 6 smaller ones - this will help speed up your metabolism and keep you from getting too hungry in between meals.

3. Increase your fruit and vegetable intake - these are packed with vitamins.

4. Decrease your fat intake - try for no more than 20 grams per day.

5. Exercise for 30 minutes each day - take a walk, or play a game with your kids. Just get moving.

6. Find a hobby - take up knitting or painting to keep your hands busy.

7. Don’t eat that late night snack - Try not to eat for at least 2 hours before going to bed.

8. Listen to your body - your body will tell you when it is full, hungry, stressed, tired. Learn the signs and obey what your body is telling you.

9. Increase your fiber - choose whole grain pasta and bread.

10. Cleanse and detoxify - this may be the most important. Rid your body of harmful toxins and chemicals, while allowing it to function normally.

Monday, January 18, 2010

Mchezaji Mweusi wa Marekani Abadili Rangi ya Ngozi Yake.


Mmarekani mweusi Sammy Sosa ambaye aliwika sana enzi zake kwenye mchezo wa Baseball amebadili rangi ya ngozi yake kutoka nyeusi kuwa nyeupe kama mzungu. Mchezaji maarufu wa zamani wa Baseball, Sammy Sosa mwenye umri wa miaka 41 amejibadilisha rangi ya ngozi yake kuwa mweupe kama mzungu kwa kutumia krimu za kujichubua.

Sosa alianza kujichubua kuanzia mwaka 2007 na wiki iliyopita alionekana kwenye tuzo za Latin Grammy jijini Las Vegas akiwa hana tena rangi yake nyeusi ya kuonyesha asili yake ya Afrika.

Sosa alionekana mweupe kama mzungu na kwa watu ambao hawamfahamu ni vigumu kuamini alikuwa mweusi 'tii' zamani.

Sosa amesema kuwa nia yake kubadili rangi ya ngozi yake ni kutokana na mapenzi yake mwenyewe na si kumuiga marehemu mfalme wa muziki wa Pop, Michael Jackson.

Sosa amekiri pia kubadilika kwa rangi hakutokani na maradhi yoyote ya ngozi bali ni kutokana na krimu anayoitumia ambayo alisema ataipigia kampeni za kibiashara.

Hivi karibuni idadi ya watu weusi wanaojichubua nchini Marekani ili wakubalike katika soko la wazungu imezidi kuongezeka na wataalamu wa ngozi wanaonya kuwa matumizi ya krimu kujichubua ni hatari kwa afya.

Magonjwa mengi ya ngozi kama vile kansa ya ngozi yamekuwa yakihusishwa na madawa na krimu za kujichubua.


Simba, Yanga Hazikamatiki Ligi Kuu Bara.


SIMBA na Yanga zote za Dar es Salaam zimeendelea kung’ara katika Ligi Kuu ya Tanzanai Bara baada ya kushinda michezo yake ya wikiendi. Yanga ndiyo iliyokuwa ya kwanza kujiongezea pointi tatu baada ya kuifunga African Lyon kwa mabao 2-0, kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya ligi hiyo.

Mabao ya Yanga katika mchezo huo, yalifungwa na Jerry Tegete katika dakika ya 36. Tegete alifunga akiunga kona iliyochongwa na Abdi Kasim.

Huku mashabiki wakidhani mchezo huo ungemalizika kwa Yanga kutoka na ushindi wa bao 1-0, Idd Mbaga alitoa pasi safi kwa Mrisho Ngassa aliyemchambua kipa Ivo Mapunda wa Lyon na kuiandikia timu yake bao la pili na kuifanya Yanga kufikisha pointi 24.

Katika mchezo wa jana, Simba imeifunga Majimaji ya Songea mabao 2-0 huku mshambuliaji wake Mussa Mgosi akifunga mabao mawili na kuwa nyota wa mchezo.

Simba sasa inaongoza ligi hiyo kwa kuwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 12 na kushinda zote.

Sunday, January 17, 2010

Greenhouse Gases.


Doing his part to cut back on greenhouse gases.

Maximo Awabeza Wanaomponda

KOCHA wa Taifa Stars, Marcio Maximo amesema wadau wa soka wanaompinga wanazingatia zaidi matokeo mabaya ya timu hiyo na wala si mazuri aliyofanya.

Maximo aliliambia gazeti moja la kila siku kabla ya kuondoka nchini mwishoni mwa wiki kwa likizo ya wiki mbili nchini Brazil alisema kuwa, soka lina matokeo matatu, kushinda, kutoka sare au suluhu na kushindwa.

Alisema kuwa ukiwauliza kwa nini wanampinga, watazungumzia matokeo mabaya ya timu tu na mapenzi binafsi na wala si yale mazuri ambayo ameyafanya akiwa na timu na rekodi yake na mapenzi binafsi.

Kocha huyo ambaye anamaliza muda wake mwezi Juni mwaka huu, alisema kuwa watu wa aina hiyo ni hatari kwa maendeleo ya soka ya Tanzania kwani hawana mapenzi ya kweli.

"Wao wanataka timu ishinde tu na wala si vinginevyo, soka haipo hivyo, hata Brazil, Hispania zinashindwa, zinatoka sare na kushinda.

"Wapenzi wao wanaelewa hayo na wamekuwa wakitoa ushirikiano mkubwa na wala si kwa kuibagua timu kuzingania matokeo," alisema Maximo.

Alisema kuwa kocha kama yeye amekumbana na hayo akiwa hapa nchini, lakini wapenzi hao hao walikuwa mstari wa mbele wakati timu inaingia katika mashindano ya CHAN, kutoka sare na vigogo vya soka barani Afrika na kushinda mechi kadhaa.

"Sishangai, kwani watu hao wapo hapa Duniani na kila mtu na tabia yake, ila Taifa Stars inahitaji wapenzi wa kweli na wala si wa kubagua matokeo," alisema.

Maximo anatarajia kujiunga na timu moja nchini Israel na changamoto kubwa ni kocha gani ambaye ataendeleza Tanzania kisoka kuanzia pale Mbrazili huyo alipoishia.


Don't abuse alcohol please...

Kama ma"DJ's" wote wangekuwa wanakunywa pombe kama hivi...basi tusingekuwa na Clubs anymore. DJ Smilez a.k.a mzee wa McPherson akiwa hoi baada ya kuzichapa shots za kwenda mbele na sasa anapay back. Husiombee mdau kama huyu apass gas hapa kwani hakuna mtu wa karibu atakakuwa mzima...I'm glad he wasn't able to do that...may be he did before I showed up!

Usiku wa Sala kwa King Kupa!

Wadau na Matapeli wakiwa wanapata neno la bwana kutoka kwa mheshimiwa Richard (Hayupo pichani). Sidhani kama Six anasikiliza kwa kweli maana yupo so busy kusoma nyimbo kwenye karatasi alilokuwa nalo mkononi.


Kweli naona unakaribia mwisho wa dunia kwani mpaka mdau Salehe a.k.a Kanye West yupo serious kusikiliza neno la bwana. I like this one!Mtoto wa DJ Smilez na yeye hakuwa nyuma kupata japo neno la uzima.


Ahahaha hapa sasa kwa kweli mwana wane walinikamata nikiwa natoa rules za Football. Mdau nimeiva kweli na siyo kwamba najifagilia wewe angalia tu... Si unaona? Nilijua tu lazima ukubaliane na mimi. Thanks!


Daamn! "On my mama...I look good...I look fly" Tapeli Mgimwa sijui tatizo ni nini kwani naona "kipepsi" chake kimepauka hivi. I think is cause of cheap lotion or some...

Saturday, January 16, 2010

Is happening tonight!

Ndugu yetu Eugine Makupa a.k.a King Kupa anawataarifu ndugu, jamaa na marafiki wake kwamba atakuwa na maombi mafupi nyumbani kwake leo saa mbili usiku. Angependa sana kama wewe na mimi tungeweza kujumuika naye ili kuweza kumwombea mama yake mzazi Mrs. Bernadine Makupa aliyefariki dunia Jumatatu ya tarehe 8 huko Kilimanjaro, Tanzania.

Kama ilivyo kawaida yetu, basi kama unachochote kile si vibaya kukileta siku hii ya leo. Kwa habari kamili kuhusu maombi haya, unaweza kuzipata kwa kuwasiliana na mdau Solomon a.k.a DJ Smilez kwa namba ya simu ya mkononi...316 347 9773. Tunatanguliza shukrani zetu zote za dhati kwa wewe uliyesoma message hii. Please let some else know about this. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...Amen.

Republic of Zimbabwe (GDP – per capita: $500)

“The expression on these guys faces says a million things, weak from hunger and too poor to own shoes or have a shirt to wear. This is all because of the tyrant they call a president.

A beautiful country ruined because of one mans greed. ” Mr Sean

Republic of Zimbabwe is located between the Limpopo and Zambezi rivers in the south of Africa. Its economy suffers a slowdown due to supply shortage, soaring inflation and foreign exchange shortage. Zimbabwe’s involvement in the Democratic Republic of the Congo left its economy fragile. The worst consequence of the knelt-down economy is unemployment that is as high as 80%.

“March, 5, 2008. The Zimbabwean currency tumbled to a record 25 million dollars for a single US dollar”

Osama Bin Laden Alivyo Sasa!

Pinda atangaza mali zake...

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda ametangaza mali zake alizonazo anazozimiliki mbele ya vyombo vya habari ofisini kwake jana.
Pinda alitangaza mali hizo zikiwemo na shilingi milioni 25 kwenye akaunti yake, nyumba tatu za kawaida moja ikiwa jijini Dar es Salaam, Mpanda na Dodoma na gari moja alilolinunua kwa mkopo.

Waziri Pinda aliamua kufanya hivyo ili kuweka bayana mali zake na kuonyesha mfano kwa viongozi wote nchini kufata kwa kuwa viongozi walitakiwa kuweka bayana mali zao ili kutekeleza sheria ya maadili ya uongozi.

"Hizo ndizo mali zangu nilizo nazo ndugu" alisema mbunge huyo wa Mpanda wakati akitangaza mali zake

Waziri mkuu aliyetambulika kwa jina la mtoto wa mkulima alitaja mali zake hizo na kusema haelewi yeye kwake utajiri ni nini na kusema mali hizo kwake anajiona ni tayari zimeshamtosheleza na wakati akianza kutaja mali zake hizo wka kujielezea mbele za wahariri alianza kwa kusema

"Nina nyumba Dodoma kutokana na utaratibu wa mikopo ya nyumba za serikali; nina nyumba Mpanda ambayo imepatikana kwa mpango wa kawaida tu, imetokana na visenti kidogo nikanunua pale ambapo bahati nzuri gharama za ujenzi hazikuwa kubwa sana, nikakikarabati kipo pale kipo Makanyagio pale."

"Haya! Ukitoka pale unataka niseme nini tena. Dar es Salaam sina nyumba ya kusema ya maana sana ukienda shambani Pugu kule kipo kinyumba kidogo hivyo inahitajika kazi ya ziada kuweza kufanya paonekane pa maana.

"Kijijini kwa baba yangu pale Kibaoni sina nyumba; pale mlipoona nimekaa na bibi tunapiga porojo, kile kijumba mimi na wadogo zangu tulimsaidia babu kwa ajili ya kumjengea babu yetu na pale ndipo nilipokuwa nafikia siku zote wakati wa likizo."

Pinda, ambaye amekuwa mbunge tangu mwaka 2000, alisema miaka yote alikuwa akifikia kwenye nyumba hiyo ambayo yeye ana chumba chake kimoja hali kadhalika babu yake.

Alisema baada ya kuteuliwa kuwa waziri mkuu, alijikuta kwenye wakati mgumu sana kwa kuwa alitaka kuendelea kufikia kwenye nyumba hiyo, lakini watu wa usalama walimkataza.

"Baada ya hii maneno inayoitwa uwaziri mkuu, nilipoteuliwa nikataka nifikie pale katika ile nyumba, lakini nikaambiwa hapana; haiwezekani; hapafai; huwezi kufikia pale,"alisema.
Alisema hilo ndilo lilikuwa tatizo lake la kwanza kwa hiyo anajaribu kujenga tena kitu ambacho na yeye atapata mahala pa kufikia pamoja na wasaidizi wake kwenye eneo hilo.

"Nimegundua tatizo ni hawa wakubwa. Pale kijijini kwetu hakuna nyumba za wageni hatuna chochote mi nilidhani nikienda kule nikiachwa kwa babu na bibi, wao wataenda huko umbali wa kilomita wakatafute pa kupumzika, lakini wakasema no! no! no! haiwezekani, nikawaelewa," alisema.

Alisema ukiondoa nyumba hiyo, vitu vya maana zaidi hana labda gari la mkopo na ni gari la mbunge.
Pinda aliendelea kuwaambia wahariri kuwa

"Hivi ukifika hivi unahitaji nini cha zaidi tena? Kwa hiyo kipato kidogo unachokipata unaweza kukitumia kwa ajili ya huduma za watoto wako kusoma na kadhalika kwa sababu ni vitu viko nje ya taratibu za serikali. Kwa hiyo huwa najiona tu kwamba na mimi nina bahati tu kwamba Mungu alinifikisha hapa nilipofika na kunifikisha katika nafasi hii imenipa ahueni," alisema.

Alisema kama masuala hayo muhimu yanatimia, wajibu wake ni kujaribu kulipa fadhila kwa Watanzania kwa kufanya kila atakaloweza kuwatumikia vizuri zaidi.

"Kwa hiyo mimi nina hakika zaidi kuwa kwa nafasi kama niliyo nayo, naweza kuishi bila tamaa ya mambo mengine zaidi... mimi hata hisa sina, sijanunua hisa mahali popote, lakini huko tunakokwenda naweza nikatamani nikatafuta hata hisa hivi, kwa ajili labda ya sababu fulani fulani," alisema.



I WANNA HEAR FROM YOU!

Juu ya fish tank kuna lotion, kwa kweli bado sijajua inafanya nini pale. Naomba sana wafurukutwa mnisaidie kama mna any comments. Na kwa data ambazo zipo mtaani ni kwamba ile lotion inapungua every other day. Please my sisters and brothers nisaidieni hapo bwana.... Kunani pale?!

SIRI IMEFICHUKA!

Sasa tumegundua ni nini hasa kinamfanya mdau huyu wa kushoto hapa katika picha kunawiri na kujinenepea kama akina mimi, Ni chupa za Kijani. Yaani mdau ni mzima kwenye hiyo sekta. Kushoto ni tapeli Ngassa D akiwa anajitahidi kutosinzia kabisa kwani ilikuwa ni usiku wa kiza kinene. Be careful ukimwona mdau huyu wa kulia kwani huwaga na plans za faster sana na ukizubaa utajikuta huna wa kumlaumu.

Look at this man!

Huyu kijana wa kulia kabisa ni Salehe a.k.a Kanye West yaani ametulia kabisa kusubira photo. Watu kama hawa ni wazushi tu kwani anaonekana kama vile hana mpango na issues ambazo viongozi wanaziongelea pale. Ila kwa mujibu wa watu walio karibu na Salehe ni kwamba kwa sasa anamalizia single yake mpya ya "I'm from Kisarawe" ambayo atamshirikia Ali Kiba katika kiitikio... Kila la Heri mheshimiwa.

Wasiovuma lakini wamo...

Mdau anaonekana anafuraha sana yaani. Kweli mwaka 2010 si mbaya kwake kwani unaona meno ya mbwa yote nje na kujitanua kwa kwenda mbele...Hii ni safi sana. Kwa data ambazo tunazo kwenye ofisi zetu ni kwamba mdau huyu kwa sasa ana plans za kwenda nyumbani Bongo na kugombea kiti cha Ubunge wa Kilwa. Tutapost more updates kwa jinsi tunavyozipata.

Thursday, January 14, 2010

This isn't funny!

Huyu mdau wa kushoto ni Issaya a.k.a Jah Kimbute Jr au baba Naima, na kwa upande wa kulia ni King Kupaz akitoa data ambazo si za msingi kwani hazina proof yeyote ile. Kinachonishangaza mimi ni kwamba huyu tapeli Kupaz bwana ana fish tank kubwa tu lakini hata maji halina sasa sijui alilinunua au alipewa bure, I have to ask him this time I can't keep on getting myself confused.

Pierre Muniz...

Mambo ya kumuwakilisha Tony Montana. Mdau wala hajaiva hivi sema camera za bei mbaya bwana zinafanya kila mtu aonekane kama half white half black. Itabidi sasa nianze kutumia camera cheap.

DC where are you at?

Kijana amegundulika kuwa anatumia pesa kununua nanii... Anyway let leave that topic alone. Do you have $100? Ha ha ha....

Best Thing To Remember...

Mambo ya kawaida jamani...

Kama unaona kuwa kuna kitu kinakufurahisha humu kwenye blog yangu basi hakuna noma kama ukiniangushia sifa mwanangu mwenyewe.....
Washkaji Mungu akipenda tutaonana basi.........ila kumbuka kuwa Mungu ni mmoja na siku zote anafanya maajabu kwahiyo si mbaya kama tukimshuru kwa kila nia.....
Mungu awabariki watu wote wa Dunia hii.Amen!

9 Things I Hate About Everyone

1. People who point at their wrist while asking for the time.... I know where my watch is pal, where the hell is yours? Do I point at my crotch when I ask where the toilet is?



2
 People who are willing to get off their ass to search the entire room for the T.V.. remote because they refuse to walk to the T.V. and change the channel manually. 

3
 When people say 'Oh you just want to have your cake and eat it too'. Damn right! What good is cake if you can't eat it? 

4
 When people say 'it's always the last place you look'. Of course it is. Why the hell would you keep looking after you've found it? Do people do this? Who and where are they?   cause I amGonna Kick their asses! 

5
 When people say while watching a film 'did you see that?'. No Loser, I paid $12 to come to the cinema and stare at the damn floor. 

6
 People who ask 'Can I ask you a question?'.... Didn't really give me a choice there, did ya sunshine? 


7.
 When something is 'new and improved!'. Which is it? If it's new, then there has never been anything before it. If it's an improvement, then there must have been something before it, couldn't be new.

8
 When people say 'life is short'. What the hell?? Life is the longest damn thing anyone ever does!! What can you do that's longer?




9
 When you are waiting for the bus and someone asks 'Has the bus come yet?'. If the bus came would I be standing here, dumbass? 

 

If you are having a bad day, remember it could be worse...

If you are having a bad day,  remember it could be worse...